luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
Hakuna kabila lisilo na tamaduniLaiti kama wangeacha kuabudu mizimu(kufanya mitambiko ya kuwakumbuka wafu) wangekuwa mbali zaidi. Neema ya Mungu ingezidi zaidi na zaidi.
Tamaduni za kichaga ni za kimaendeleo ndio maana mkoa ina wasomi wa kila fani na maendeleo yametamalaki
Sio kama zile jamii zingine zenye tamaduni mbaya kama female génital mutilation,kuozesha watoto wa kike wadogo kwa ng'ombe,kutopenda shule etc