Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Haya mambo yana historia yake kilimanjaro ya leo haijaibuka tu ikawa hivyo ilivyo leo ni ya siku nyingi toka wakoloni huko..

ingawa wenyeji pia wanajitambua huo ndio ukweli na wanajipenda uwezi kukuta mchaga anakimbia kwao akipata tu anaanza nyumbani then kwingine kunafuata.
kongole yenu wachaga... Ila muache uwizi!
............Hahah wizi hatuachi mkuu as long as sote ni wezi hata wewe nina imani ukiona sehemu pana opportunity ukiangalia kulia na kushoto ukiona hakuna anayekuona lazima nafasi uitumie vizuri.

Hiyo Wachagha kuonekana kwamba wezi sana ni majungu tu ya wale walioshindwa kufikia maendeleo yao wakaamua kutunga uwongo ili kujitofautisha nao kwamba kukosa kwao maendeleo ni kwa sababu wao siyo wezi kama Wachagha ila in real life nao ni wezi vile vile tofauti mchagha ana uwezo mkubwa wa kubuni assets za kutunza hela.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kila mtu ni mwizi.. Huo ndo ukweli?
 
Kila mtu ni mwizi.. Huo ndo ukweli?
Yah mkuu!

Hoja ni namna gani unatumia kile ulichokwapua?Kama kutapanya bila kuanzisha mradi wa kukikuza tusitafutane uchawi ila ukifanikiwa kutulia mambo yakakuendea hutaonekana tena mwizi bali shujaa.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
............Hahah wizi hatuachi mkuu as long as sote ni wezi hata wewe nina imani ukiona sehemu pana opportunity ukiangalia kulia na kushoto ukiona hakuna anayekuona lazima nafasi uitumie vizuri.

Hiyo Wachagha kuonekana kwamba wezi sana ni majungu tu ya wale walioshindwa kufikia maendeleo yao wakaamua kutunga uwongo ili kujitofautisha nao kwamba kukosa kwao maendeleo ni kwa sababu wao siyo wezi kama Wachagha ila in real life nao ni wezi vile vile tofauti mchagha ana uwezo mkubwa wa kubuni assets za kutunza hela.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Kunywa balimi moja nitalipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sherehe za kuapisha mapadre wa kwanza tz huko Rubya mkoani kagera .mapadre hao walikuwa ni wahaya Oscar kyakarabwa na wilibroad mupapi.pia uhaya ndo kumetokea askofu wa Kwanza Africa mashariki na kardinali wa Kwanza mweusi tangia kuundwa Kwa ulimwengu.View attachment 1008647

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakujibu kwa picha
Hiyo ni mwaka 1942 pichan ni wagombea umangi mkuu huko uchagani wote walikuwa na degree isipokuw mangi mareale alikuwa na masters kutoka Cambridge
Wachaga ni elimu
Picha ya pili ni kanisa huko vijijin moshi utadhan ulaya
FB_IMG_15464271929584151.jpeg
tapatalk_1548809643863.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya makanisa yapo huko bukoba unaweza fikiri ni Paris .ndo makongwe zaidi na mapadre wa Kwanza watz huko Rubya na walikuwa wahaya mwaka 1917.makanisa makongwe hayo hapo na we leta ya moshi tuyaone Anza na cathedral yenyewe ilivyo mbovu. Bukoba hayo hapoView attachment 1008639View attachment 1008642View attachment 1008643

Sent using Jamii Forums mobile app
Check haya makanisa ya vijijin huko uchagani
Hapo cjaweka ya mjin
Una kingine Cha kusema?
tapatalk_1548809651105.jpeg
tapatalk_1548809656249.jpeg
tapatalk_1548809643863.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna conv.power.ungekuwa unatoa speech watu wanalala km gharib bilal anaongea
Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NiNimeshakwambia Kwa nini mkoa wa kagera unaonekana maskini shida ni baadhi ya wilaya zake kama biharamulo ambayo Asilimia 65 ya wakazi wake ni maskini hebu tafuta takwimu za kiwilaya uone wilaya za wahaya zilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utetezi hafifu mbona sisi hatubagui mwanga na same lkn mkoa wetu unapeta? Tunasaidiana nao hatuwatengi hata nyie wahaya wilaya zenu choka mbaya muleba yenyewe hadi Leo vijiji vingi havina umeme,lkn Kilimanjaro vijiji 99% Vina umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom