instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,603
- 19,792
Najua linalizidi Kwa uzuri na ukubwa Haya hebu niletee cathedral ya Jimbo la moshi nami niletee ya bukoba .moshi ukikuta kanisa kama hili please nishitue na mod wanipige bani kabisaCheck haya makanisa ya vijijin huko uchagani
Hapo cjaweka ya mjin
Una kingine Cha kusema?View attachment 1008949View attachment 1008951View attachment 1008952
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app