instanbul kuhusu kia na safari za ndani
acha kujivika upofu nimeshakuelewesha hapo ukiachilia mbali safari za kimataifa, local routes ni safari tano kwa cku kia,wakati bk ni 2
usitake kuchanganya mafaili mm nazungumzia local routes za Kia vs bk we unasema Mara kimataifa hiyo ni hoja NYINGINE
tunayo
hadi précision air nyie mna ubavu huo?
moshi wachaga wanaenda na ndege hatari ndio maana tuna masafari mengi kuliko mkoa wowote lkn wala hatuna mbwembwe kama nyie maskini wenye route 2
kuhusu mabasi ya bukoba,ingekuwa Osaka,muro Arusha exp ni mabovu yangeendelea kupata abiria kila cku?
alafu ujue ulivyo muongo mabasi uliyotaja hapo (ilyana,fikoshi,,frester,ota ) hKuna hata moja la mhaya mna ubavu wa kumiliki basi nyie?
fikoshi,frester ni ya wasukuma, ilyana na ota za jamaa wa Njombe acha uzwazwa makampuni ya mabasi tz nzima hunidanganyi pole kwa kuumbuka