instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,604
- 19,793
Nakuletea picha za majengo ya eneo Hilo la kaitaba na miembeni.we upo Tu kukejeli Ila Hilo eneo limejengeka ingawa sio katikati ya mjiKwahiyo vile vijengo vya finca,nbc bank kwako we ni majengo ya kifahari? Hahaha hivi unajua maana ya majengo? Huo mtaa haujafikia hata robo ya mtaa wa shirimatunda pale Moshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app