Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 939
Eti wahaya hawana hela wakati ndo wanalifanya shirika la ndege liwe hai .abiria wote hawa wanaenda bukoba jamani.unaweza fikiri wahaya hawaendi nyumbani Kwa sababu mabasi kuadimika hapana huku ndege ndo zinaaminika.unasema wachaga Wana hela wakati December wanajazana kwenye vidaladala kwenda kwao ndo ulinganishe na wahaya wanaopanda ndege?instanbul unataja sijui wamiliki wa shule,sijui ka shell kuwa ndio matajir? Hao uchagani ni maskini kabisa,matajiri uchwara wowote uliotaja hapo wa kihaya hawafikii hata robo ya tajiri Michael shirima mmiliki wa precision air
ndio ujue nyie ni maskini yaan mmiliki wa shule uhayan ni tajiri? je ukija Kilimandjaro unakuta mtu mmoja anamiliki gorofa 10,semi trailer 20 na mabasi ya kutosha tutamwitaje? nyie hamna hela kwenu hizo ni héla akija kwetu huyo ni maskin
Mkoa wenu ongeleeni elimu tu ila mambo mengine bado mnatia huruma sana hampishani na mikoa inayoburuza mkia kielimuWahaya sio wajinga kuacha mapori wazi.ni akili ya kutunza mazingira na kufanya bukoba izidi kupendeza na Hali ya hewa ya kipekeee isipoteee ndo maana bukoba ndo inaongoza Kwa kuwa na mvua nyingi tz na hakuna kiangazi kabisa.na wanakuwaga wakali Kwa watu wa mikoa mingine hasa wasukuma wanaoharibu mazingira.wasukuma wamesambaa nchini lakini uhayan wameshindwa kabisa ndo maana bukoba Hali ya hewa yake na mkoa unabaki natural na pia kuvitunzia vizaZi vijavyo.kwa soko la kahawA angalia viwanda vya kahawA vilivyopo kagera mfano tanica, bukoba nk kahawA nyingi na nzr inazalishwa kagera bila kujali sukari kagera sugar,chai around bukoba,ndizi ndo basi inalisha Tanzania nzima hebu tazama mandhari ya kipekeee kabisa View attachment 1005367
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi kuona au kufika katika vijiji vya kagera hasa uhayani? Una ubavu gani wa kuvilinganisha na mkoa wowote kweli? Kama huna fact tutakuumbua kama tulivyowaumbua wenzako .husiongee Kwa hisia Tu bali Kwa fact .Mkoa wenu ongeleeni elimu tu ila mambo mengine bado mnatia huruma sana hampishani na mikoa inayoburuza mkia kielimu
instanbul unachekesha,yaan uifanamishe bk na moshi intems of ndege? hahaha sisi Moshi tuna safari 5 kila cku nyie 2 Sasa tusemeje? December tunajazana kwenye ndege haxitoshi ndipo tunaingia kwenye ma V8 yetu kula xmass
sisi kila cku ndege lazma zifike moshi Mara 5 ndio maana Hakuna kampuni ya ndege isiyozidisha safari Moshi,sisi ndio kitovu Cha kuyapa hela mashirika ya ndege Wala sio nyie
2_moshi ni airport ya kimataifa tangu Uhuru Kilimanjaro na dar tu ndio zilikuwa airport za kimataifa,we ukitaka kwenda ulaya lazma uje either Kilimanjaro au dar na mbeya
sisi ukiachilia mbali ndege za ndani, yanatua madege ya kimataifa Kama Turkish airlines,klm royal Deutsch,Kenya Airways, ethipian Airlines, Emirates,etihad Airways nk
nyie kwenye ishu ya ndege mjifananishe na kigoma au mwanza sisi ni level ya kimataifa kabisa
alafu tunamiliki hadi shirika la ndege la précision air, tumewaletea hapo bk,nyie mna ubavu hata wa kumiliki chopa kama za ndesamburo na mbowe?
3_ishu ya vijijini
uhayan Kuna vijiji vina makaz mazuri Hilo sikatai,Ila vijiji vingi ni makaz ya hovyo ndio maana ripoti ikasema mkoa wenu hamna makaz Bora,lakin Kilimanjaro vijijin makaz mengi ni ya kisasa kuliko duni(Kilimanjaro vijijin ni kawaida kukuta ghorofa kadhaa ) ndio maana Kilimandjaro kiujumla ni mkoa wa 2 tz kuwa na makazi bora ,banda lá ngombe Kilimanjaro utadhan ni nyumba ya kulala mtu kagera
Eti mnaingia kwenye mav8 yetu umenichekesha kweli.nyie si ndo mnajazana kwenye vidaladala na mabasi ya low quality kwenda kwenu .Yani mlivyo maskini mnashindwa kukodi magari na kuwapeleka kwenu hauna hata Haya unayoyaongea .you dont have money .halafu ushasema uwanja wa ndege wa KLM ni WA kimataifa hivyo waupandao Asilimia kubwa Sio wachaga tofauti na bukoba ambapo wapandao ndege bila hata kuuliza ni wakazi wa bukoba .leta hayo majumba mnayolishia nguruwe maana we ni muongo Sana eti bil Saba zinajenga km200 ulichemka Sana na kuumbuka kwenye ule uziinstanbul unachekesha,yaan uifanamishe bk na moshi intems of ndege? hahaha sisi Moshi tuna safari 5 kila cku nyie 2 Sasa tusemeje? December tunajazana kwenye ndege haxitoshi ndipo tunaingia kwenye ma V8 yetu kula xmass
sisi kila cku ndege lazma zifike moshi Mara 5 ndio maana Hakuna kampuni ya ndege isiyozidisha safari Moshi,sisi ndio kitovu Cha kuyapa hela mashirika ya ndege Wala sio nyie
2_moshi ni airport ya kimataifa tangu Uhuru Kilimanjaro na dar tu ndio zilikuwa airport za kimataifa,we ukitaka kwenda ulaya lazma uje either Kilimanjaro au dar na mbeya
sisi ukiachilia mbali ndege za ndani, yanatua madege ya kimataifa Kama Turkish airlines,klm royal Deutsch,Kenya Airways, ethipian Airlines, Emirates,etihad Airways nk
nyie kwenye ishu ya ndege mjifananishe na kigoma au mwanza sisi ni level ya kimataifa kabisa
alafu tunamiliki hadi shirika la ndege la précision air, tumewaletea hapo bk,nyie mna ubavu hata wa kumiliki chopa kama za ndesamburo na mbowe?
3_ishu ya vijijini
uhayan Kuna vijiji vina makaz mazuri Hilo sikatai,Ila vijiji vingi ni makaz ya hovyo ndio maana ripoti ikasema mkoa wenu hamna makaz Bora,lakin Kilimanjaro vijijin makaz mengi ni ya kisasa kuliko duni(Kilimanjaro vijijin ni kawaida kukuta ghorofa kadhaa ) ndio maana Kilimandjaro kiujumla ni mkoa wa 2 tz kuwa na makazi bora ,banda lá ngombe Kilimanjaro utadhan ni nyumba ya kulala mtu kagera
Ni mkoa ambao wenyeji hutorekea mikoa mingine kwa sababu hauna fursa za kutajirika kama shinyanga, mwanza, mbeya, njombe, katavi nk.inashangaza sana kwenu kuzuri halafu unaenda sehemu isio kuw na maji na lami kama katavi.Mwaka 1994 Kilimanjaro ilikuwa na shule za sekondari 104 ,dar zilikuwepo 10, barabara ya lami ya kwenda machame ilijengwa miaka ya sabini, lakini hadi sasa hivi kutoka tabora kwenda katavi barabara haina lami.
Project ya maji ya kutoka machame ni kubwa ina uwezo wa kusambaza maji hadi Jimbo la Simanjiro ambaye mbunge wake alikuwa ccm na ambaye sasa ni mkuu wa mkoa wa Njombe lakini aliogopa kuomba kuunganishiwa maji kwa kuona aibu kuwa atampaisha Mbowe,hivyo akaacha wananchi wake wateseke.
Ukiacha biashara ya kuunga mkono juhudi za rais, mkoa mzima ulikuwa na mbunge mmoja tu wa ccm. (Nayo ilitokana na cuf na chadema kuweka wagombea ila idadi yao ya kura ilizidi zile za ccm ).
Ni mkoa pekee ambao baada ya shughuli za mwaka mzima, wenyeji wake wengi hurudi kwao kusalimia ndugu,jamaa na marafiki katika sikukuu za mwisho wa mwaka.
Ni mkoa ambao una mlima mrefu wa volkano kuliko yote duniani.
Wenyeji wa mkoa huu ni wachaga,wapare na wamasai.
MUNGU IBARIKI KILIMANJARO
Sent using Jamii Forums mobile app
instanbul bk Ina safari 2 kwa cku moshi Ina safari 5 kwa cku nan anasafiri kuliko mwingine hapo? unajua nyie wahaya mna mbwembwe sana,nishakwambia level Yako ni kigoma Kilimandjaro ni lèvel ya kimataifa,
eti bk airport kupanuliwa ndio unaona ufahari je na sisi wenye airport ya kimataifa tusemeje? hahahs
Hahaha ndo ujue hawa jamaa ni waongo, tumeshuhudia wote wakibananishwa kwenye vidaladala kwenda kwao. Maskini wakubwa tu hawaEti mnaingia kwenye mav8 yetu umenichekesha kweli.nyie si ndo mnajazana kwenye vidaladala na mabasi ya low quality kwenda kwenu .Yani mlivyo maskini mnashindwa kukodi magari na kuwapeleka kwenu hauna hata Haya unayoyaongea .you dont have money .halafu ushasema uwanja wa ndege wa KLM ni WA kimataifa hivyo waupandao Asilimia kubwa Sio wachaga tofauti na bukoba ambapo wapandao ndege bila hata kuuliza ni wakazi wa bukoba .leta hayo majumba mnayolishia nguruwe maana we ni muongo Sana eti bil Saba zinajenga km200 ulichemka Sana na kuumbuka kwenye ule uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko wazuge ambao hawajafika mwezi uliopita nilikua pande hizo nimekaa Nkwenda miezi 2. Nyumba nzuri zipo ila ni mojamoja ila kiujumla bado hali mbaya mkoa hauendani na kelele za elimu mnazotupigia humu, kwa Kilimanjaro ndo kabisa labda mshindane kielimu ila maendeleo hasa upande wa uchumi huo mkoa wenu bado kabisa nyie pigeni kelele tu kwenye miji ya wengine ila kwenu kwakweli ongezeni msuliUlishawahi kuona au kufika katika vijiji vya kagera hasa uhayani? Una ubavu gani wa kuvilinganisha na mkoa wowote kweli? Kama huna fact tutakuumbua kama tulivyowaumbua wenzako .husiongee Kwa hisia Tu bali Kwa fact .
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea ni waziri gani wakilimo alikuwepo wakati huo.pia kuzidi akili na maarifa za wizi? Inawezekana na mitihan hiyo mnaiba kama ndo maarifa hayo mliyonayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakishimundu je hawatoki hukoMwaka 1994 Kilimanjaro ilikuwa na shule za sekondari 104 ,dar zilikuwepo 10, barabara ya lami ya kwenda machame ilijengwa miaka ya sabini, lakini hadi sasa hivi kutoka tabora kwenda katavi barabara haina lami.
Project ya maji ya kutoka machame ni kubwa ina uwezo wa kusambaza maji hadi Jimbo la Simanjiro ambaye mbunge wake alikuwa ccm na ambaye sasa ni mkuu wa mkoa wa Njombe lakini aliogopa kuomba kuunganishiwa maji kwa kuona aibu kuwa atampaisha Mbowe,hivyo akaacha wananchi wake wateseke.
Ukiacha biashara ya kuunga mkono juhudi za rais, mkoa mzima ulikuwa na mbunge mmoja tu wa ccm. (Nayo ilitokana na cuf na chadema kuweka wagombea ila idadi yao ya kura ilizidi zile za ccm ).
Ni mkoa pekee ambao baada ya shughuli za mwaka mzima, wenyeji wake wengi hurudi kwao kusalimia ndugu,jamaa na marafiki katika sikukuu za mwisho wa mwaka.
Ni mkoa ambao una mlima mrefu wa volkano kuliko yote duniani.
Wenyeji wa mkoa huu ni wachaga,wapare na wamasai.
MUNGU IBARIKI KILIMANJARO
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimetaja 5 bora, hivyo kagera haina ubavu wa kuwepo hapo
Arusha hakuna eneo la uwanja wa ndege? mmeburuzwa kwenye elimu mmeanza kutaabika mara ndege sijui Arusha, kagera ni mkoa masikini wa 4 kutoka mwisho ahhhahhaahaaahhha AhahahhahahahahahahaAbiria wengi wanapita KIA kwenda zao Arusha, bila Arusha KIA itakufa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Piganeni muwatoe kwenye umasikini ndugu zenu , kwenye 5 bora ya elimu haupo , ila 5 bora ya umasikini umekita kambi
Ahahahahaaaahahhahhaaha unajifariji kwa safari za ndege, wewe ni mkoa masikini mbwa badala ya kujenga mji unajisifia safari za ndege ahahahhahahaaaahh, Kilimanjaro safari 5 kwa siku wewe visafari viwili kelele tuEti wahaya hawana hela wakati ndo wanalifanya shirika la ndege liwe hai .abiria wote hawa wanaenda bukoba jamani.unaweza fikiri wahaya hawaendi nyumbani Kwa sababu mabasi kuadimika hapana huku ndege ndo zinaaminika.unasema wachaga Wana hela wakati December wanajazana kwenye vidaladala kwenda kwao ndo ulinganishe na wahaya wanaopanda ndege?View attachment 1006541View attachment 1006542
Sent using Jamii Forums mobile app