Unafahamu mmiliki wa kairuki hospitals,chuo cha kairuki na taasisi za kairuki,je unafahamu kampuni ya ujenzi ya abemulo,je unafahamu masilingi, mshumbusi, wanamiliki nini .na wengine wengi ndo maana uwanja wa ndege wa bukokijumlisha utaba unapanuliwa.huku Safar za ndege zikiongezwa kwenda bukoba .Hela ndo inaongea. Je unamfahamu mmiliki wa tusiime schools,st Mary's schools,kaizirege,mwolekas tower na pia smart oil companies .bila kusahau mwanza maghorofa mengi ni wahaya hapo sijagusa dar.je unafahamu maprofesa,madoctor ,maphd holders,mapadre ,mpaka kardinali wote ni WA wap.na je mmiliki wa clouds media ,jamii forum nk nimechoka kuandika
Sent using
Jamii Forums mobile app