Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

hata wakizitoa hizo wilaya bado mtabk maskini wilaya ya muleba ni maeneo machache tu n mazur mengi ni bush hatar
Pia kuzaliana kwa wingi kunawasababishia umaskini kwahiyo usijidanganye
Eti muleba ni bushi!!!! Wewe unapaona bushi kumbe ndani yake watu wamejenga. Nina uhakika wewe umepita barabarani ila hujaingia ndani huko kuona nini watu wanafanya. Sehemu nyingi za muleba ziko kama inavyoonekana hapo chini
FB_IMG_1547065733198.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1994 Kilimanjaro ilikuwa na shule za sekondari 104 ,dar zilikuwepo 10, barabara ya lami ya kwenda machame ilijengwa miaka ya sabini, lakini hadi sasa hivi kutoka tabora kwenda katavi barabara haina lami.

Project ya maji ya kutoka machame ni kubwa ina uwezo wa kusambaza maji hadi Jimbo la Simanjiro ambaye mbunge wake alikuwa ccm na ambaye sasa ni mkuu wa mkoa wa Njombe lakini aliogopa kuomba kuunganishiwa maji kwa kuona aibu kuwa atampaisha Mbowe,hivyo akaacha wananchi wake wateseke.



Sent using Jamii Forums mobile app

Nimesikitika hapo kwa mbunge huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti muleba ni bushi!!!! Wewe unapaona bushi kumbe ndani yake watu wamejenga. Nina uhakika wewe umepita barabarani ila hujaingia ndani huko kuona nini watu wanafanya. Sehemu nyingi za muleba ziko kama inavyoonekana hapo chini View attachment 1005393

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mkuu hakuna udhibitisho hapo ni Muleba.. Hata hizo gari hapo hazionyeshi kuwa na yellow plates.. Hii picha imepigwa kwa juu tu sasa tuonyeshe kwa chini hasahasa hizo gari tupate utambulisho kuwa ni za Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha!! Mkuu najua huwezi kuamini maana watu wanavyoisema muleba na Kagera na ilivyo ni tofauti kabisa. Hapo ni muleba kijiji cha buganguzi
Ila mkuu hakuna udhibitisho hapo ni Muleba.. Hata hizo gari hapo hazionyeshi kuwa na yellow plates.. Hii picha imepigwa kwa juu tu sasa tuonyeshe kwa chini hasahasa hizo gari tupate utambulisho kuwa ni za Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hujui wazungu wameendelea kwa kutuibia? Tena walituibia rasilimali mpaka nguvu kazi.

Sasa kama una akili unakubalije kuruhusu kuibiwa kijanja janja. Kuna wakati Mwenyekiti wa KCU huko kwenu alikuwa Mchagga hehehehe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ni Wiz Wiz Tu na kuwachuma wengine hizo tabia uhayani hakuna . wanafanya vitu Kwa juhudi zao sio Wiz Wiz . inawezekana hata matokeo mnaiba na takwimu mnapanga wenyewe ili kuikandamiza kagera na ili muwe juu Yao lakini ukweli utabaki palepake The most intelligent people in Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Temperature ya Rural areas in Kilimanjaro is far better than yours.. Hata nature ya misitu na uoto wa asili ni nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Utachekwa Sana .funga Safar uende bukoba ukijanii mwingi hakuna joto wala baridi .mvua kibao mpaka zinakera .waliofika bukoba ni mashaidi.nyie moshi kuna mda Fulani kuna joto Sana na mda Fulani kuna baridi Sana hivyo huwezi vikuta bukoba ukiongeza na mandhari ya ziwa Victoria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mkuu hakuna udhibitisho hapo ni Muleba.. Hata hizo gari hapo hazionyeshi kuwa na yellow plates.. Hii picha imepigwa kwa juu tu sasa tuonyeshe kwa chini hasahasa hizo gari tupate utambulisho kuwa ni za Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawahi fika bukoba ndo maana unabisha bisha hapa tazama udongo,migomba na kijiji hiki kipo nje kidogo ya muleba mjini .binafsi nilishafika.mijumba kama hii huwezi ikuta huko kishimundu na sijui kirua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akili mufilisi
tz mabilionea wengi wazawa ni wachaga
wamiliki wa kampuni za mabasi 50% ni wa Kilimandjaro hadi précision air
kwenye elimu ndio usiseme
kujituma ndio chanzo chá maendeleo hayo
je na hayo maendeleo kila kukicha ni viongoz wameyachepushia? vile vile kwan Kilimandjaro hawalipi Kodi hadi maendeleo ya serikali yasiende? endelea na majungu sisi maendeleo tu[/QUOTE
Ndio hao hao walitaka kuua air Tanzania na TRL ili wao wafanye biashara.
 
Mkuu sio muleba tu hata kwenye kata moja ya kamachumu vitu kama ni uncountable kwa mtu ambaye amewahi kukaa maeneo hayo anajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaofanya takwimu huwa hawaangalii minority bali majority..

Hizo nyumba maeneo ya vijiji vya moshi ni za kawaida sana, tena na mbele yake unakuta barabara ya rami safi kabisa.. Lakini Je, jamii na jirani wapoje. Ukiangalia kwa makini hapo utaona hizo nyumba ni za ndugu moja ambao labda wao wamejaliwa ukwasi lakini majirani ni hoe hae ndio maana kwenye takwimu za HDI za UN na Bodi ya Takwimu Kagera inaonekana bado iko nyuma sana..

Hapo ni sawa na kupiga picha streets za Obey, Masaki na kusema Dar au Tz nzima ni matajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Hahahaha hizo nyumba ziko tele tu mkuu.. Yaani mchaga ashindwe kujenga hiyo nyumba?

Nilikuuliza hapa utaje wahaya wanaomiliki biashara kubwa zinazoeleweka na kufahamika hapa Tz au hata kuown share kwenye kumpuni au taasis kubwa kubwa ukaingia mitini. Vipi nikutajie wachaga?
Hujawahi fika bukoba ndo maana unabisha bisha hapa tazama udongo,migomba na kijiji hiki kipo nje kidogo ya muleba mjini .binafsi nilishafika.mijumba kama hii huwezi ikuta huko kishimundu na sijui kirua

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom