Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Hiyo ilikuwa zamani ndo maana mlikuwa mnaiba mapato yetu kahawA ya kagera ilikuwa inahesabika kama kodi ya Kilimanjaro ndo maana siku hiz kahawA inauziwa bukoba .

Sent using Jamii Forums mobile app
bado haijaanza kuuziwa bukoba maana PM ndio akitoa agizo hilo juz tu
lengo lá kuuzia kahawa yenu moshi ilikuwa ni soko kujengwa moshi(kwenye kahawa nyingi) kuliko kagera yenye vikahawa,hata mkiuzia bk bdo soko tumelishika nyie kahawa hamtufikii hata robo maana nyie mmeacha mkoa wenu kuwa pori kahawa mkapanda sehemu chache
Kilimanjaro huwez kuta mapori Kama kwenu
 
Sio kuwah kusoma Bali in tabia tu ya kubagua na kiukanda ktk kuleta maendeleo.N urafi wa rasilimali at the highest order ambayo waafrika wengi wamekuwa nayo

vipi na majumba ya kifahari vijijin huko Moshi napo wameyachepushia?
huo ni wivu,kwan rais alikuwa mchaga? achen wivu Kilimandjaro inachangia Kodi kubwa lazma maendeleo yawepo Kilimandjaro ni mkoa wa 6 kuchangia gdp japo ni ka mkoa kadogo nyie limkoa lenu la lindi likuuibwa lakn mapato yenu mnazidiwa na wilaya ya siha Kilimanjaro achen uvivu fanyen Kaz penden kwenu mtafanikiwa
 
bado haijaanza kuuziwa bukoba maana PM ndio akitoa agizo hilo juz tu
lengo lá kuuzia kahawa yenu moshi ilikuwa ni soko kujengwa moshi(kwenye kahawa nyingi) kuliko kagera yenye vikahawa,hata mkiuzia bk bdo soko tumelishika nyie kahawa hamtufikii hata robo maana nyie mmeacha mkoa wenu kuwa pori kahawa mkapanda sehemu chache
Kilimanjaro huwez kuta mapori Kama kwenu
Wahaya sio wajinga kuacha mapori wazi.ni akili ya kutunza mazingira na kufanya bukoba izidi kupendeza na Hali ya hewa ya kipekeee isipoteee ndo maana bukoba ndo inaongoza Kwa kuwa na mvua nyingi tz na hakuna kiangazi kabisa.na wanakuwaga wakali Kwa watu wa mikoa mingine hasa wasukuma wanaoharibu mazingira.wasukuma wamesambaa nchini lakini uhayan wameshindwa kabisa ndo maana bukoba Hali ya hewa yake na mkoa unabaki natural na pia kuvitunzia vizaZi vijavyo.kwa soko la kahawA angalia viwanda vya kahawA vilivyopo kagera mfano tanica, bukoba nk kahawA nyingi na nzr inazalishwa kagera bila kujali sukari kagera sugar,chai around bukoba,ndizi ndo basi inalisha Tanzania nzima hebu tazama mandhari ya kipekeee kabisa
images%20(21).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahaya sio wajinga kuacha mapori wazi.ni akili ya kutunza mazingira na kufanya bukoba izidi kupendeza na Hali ya hewa ya kipekeee isipoteee ndo maana bukoba ndo inaongoza Kwa kuwa na mvua nyingi tz na hakuna kiangazi kabisa.na wanakuwaga wakali Kwa watu wa mikoa mingine hasa wasukuma wanaoharibu mazingira.wasukuma wamesambaa nchini lakini uhayan wameshindwa kabisa ndo maana bukoba Hali ya hewa yake na mkoa unabaki natural na pia kuvitunzia vizaZi vijavyo.kwa soko la kahawA angalia viwanda vya kahawA vilivyopo kagera mfano tanica, bukoba nk kahawA nyingi na nzr inazalishwa kagera bila kujali sukari kagera sugar,chai around bukoba,ndizi ndo basi inalisha Tanzania nzima hebu tazama mandhari ya kipekeee kabisa View attachment 1005367

Sent using Jamii Forums mobile app
Anzisha uzi wako wa watu wa kagera acha kudandia
 
Unataka kuniambia kubaguakiukanda na ulafi wa mali umewaletea maendeleo?
Ndio sababu ya wao kufanya vizuri mwalim kashasha
Sio kuwah kusoma Bali in tabia tu ya kubagua na kiukanda ktk kuleta maendeleo.N urafi wa rasilimali at the highest order ambayo waafrika wengi wamekuwa nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ilikuwa zamani ndo maana mlikuwa mnaiba mapato yetu kahawA ya kagera ilikuwa inahesabika kama kodi ya Kilimanjaro ndo maana siku hiz kahawA inauziwa bukoba .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo na usomi wenu mlikubali kuibiwa na wachaga.. hahaha still unakubali mchaga kakuzidi akili na maarifa.

Yaani tuliwachapa sound mkakubali kahawa kuileta kwa mangi hahahaha

Inategemea ni waziri gani wakilimo alikuwepo wakati huo.pia kuzidi akili na maarifa za wizi? Inawezekana na mitihan hiyo mnaiba kama ndo maarifa hayo mliyonayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanga imeendelea kuliko Chato.
Unafahamu kuwa ukitoka Mwanga kwenda Usangi barabara yake ni ya Lami? Ndani ya wilaya...
Na Mkoa wa Mwanza na Geita bado hazijaunganishwa kwa Lami.
Mkuu inaelekea nawe ni wahuko milimani sio,Sasa ivi Usangi yaani mpaka raha
 
We jamaa ni muongo sana, unaongea bila data. Lini mkoa wa Kilimanjaro ukazalisha kahawa kuliko Kagera?? Kagera inazalisha 1/3 ya kahawa yote Tanzania hizo nyingine mnagawana na Mbeya, Ruvuma n.k.
bado haijaanza kuuziwa bukoba maana PM ndio akitoa agizo hilo juz tu
lengo lá kuuzia kahawa yenu moshi ilikuwa ni soko kujengwa moshi(kwenye kahawa nyingi) kuliko kagera yenye vikahawa,hata mkiuzia bk bdo soko tumelishika nyie kahawa hamtufikii hata robo maana nyie mmeacha mkoa wenu kuwa pori kahawa mkapanda sehemu chache
Kilimanjaro huwez kuta mapori Kama kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1994 Kilimanjaro ilikuwa na shule za sekondari 104 ,dar zilikuwepo 10, barabara ya lami ya kwenda machame ilijengwa miaka ya sabini, lakini hadi sasa hivi kutoka tabora kwenda katavi barabara haina lami.

Project ya maji ya kutoka machame ni kubwa ina uwezo wa kusambaza maji hadi Jimbo la Simanjiro ambaye mbunge wake alikuwa ccm na ambaye sasa ni mkuu wa mkoa wa Njombe lakini aliogopa kuomba kuunganishiwa maji kwa kuona aibu kuwa atampaisha Mbowe,hivyo akaacha wananchi wake wateseke.

Ukiacha biashara ya kuunga mkono juhudi za rais, mkoa mzima ulikuwa na mbunge mmoja tu wa ccm. (Nayo ilitokana na cuf na chadema kuweka wagombea ila idadi yao ya kura ilizidi zile za ccm ).

Ni mkoa pekee ambao baada ya shughuli za mwaka mzima, wenyeji wake wengi hurudi kwao kusalimia ndugu,jamaa na marafiki katika sikukuu za mwisho wa mwaka.

Ni mkoa ambao una mlima mrefu wa volkano kuliko yote duniani.

Wenyeji wa mkoa huu ni wachaga,wapare na wamasai.

MUNGU IBARIKI KILIMANJARO

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamasai ni kama waloezi tu,Ule ni mji wa Chaga and Pare
 
Bora umewaambia wenyewe wanaona sifa kugeuza mikoa yao jangwa. Bukoba huwezi kumuona msukuma au Mmasai na ng'ombe maana wanaharibu mazingira. Temperature ya Bukoba haijawahi kuzidi nyuzijoto 28, watu wanajitahidi kupanda miti
Wahaya sio wajinga kuacha mapori wazi.ni akili ya kutunza mazingira na kufanya bukoba izidi kupendeza na Hali ya hewa ya kipekeee isipoteee ndo maana bukoba ndo inaongoza Kwa kuwa na mvua nyingi tz na hakuna kiangazi kabisa.na wanakuwaga wakali Kwa watu wa mikoa mingine hasa wasukuma wanaoharibu mazingira.wasukuma wamesambaa nchini lakini uhayan wameshindwa kabisa ndo maana bukoba Hali ya hewa yake na mkoa unabaki natural na pia kuvitunzia vizaZi vijavyo.kwa soko la kahawA angalia viwanda vya kahawA vilivyopo kagera mfano tanica, bukoba nk kahawA nyingi na nzr inazalishwa kagera bila kujali sukari kagera sugar,chai around bukoba,ndizi ndo basi inalisha Tanzania nzima hebu tazama mandhari ya kipekeee kabisa View attachment 1005367

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hujui wazungu wameendelea kwa kutuibia? Tena walituibia rasilimali mpaka nguvu kazi.

Sasa kama una akili unakubalije kuruhusu kuibiwa kijanja janja. Kuna wakati Mwenyekiti wa KCU huko kwenu alikuwa Mchagga hehehehe
Inategemea ni waziri gani wakilimo alikuwepo wakati huo.pia kuzidi akili na maarifa za wizi? Inawezekana na mitihan hiyo mnaiba kama ndo maarifa hayo mliyonayo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Temperature ya Rural areas in Kilimanjaro is far better than yours.. Hata nature ya misitu na uoto wa asili ni nzuri

Back
Top Bottom