Mkoa wa Geita ubadilishwe jina na kuitwa "Magufuli" kisha makao makuu yawe wilaya ya "Chato" mwaka 2031

Good evening jamiiforums.

Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi...
Pale Msoga paiwetwe Jakaya na Lupaso paitwe Mjapa pia.
 
Mawazo mgando hivi huyo Magufuli aliwafanyia nini mnahangaika naye wakati ameshakwenda zake aaaagh
 
Good evening jamiiforums.

Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi;

Kwanini mkoa wa Geita usibadilishwe jina ukaitwa "Magufuli" kisha makao makuu yakawa Wilaya ya Chato ifikapo mwaka 2031 (Miaka 10 baada ya kifo cha Rais wa awamu ya 5).

Eti wakuu, huyu mtoto wa dada yangu yupo sahihi?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Makao makuu yaitwe john pombe!!!
 
Unajiona una akili sana na mathread yako ya hovyo kila siku.unapotezwa na wale wanaokusifu.
 
Good evening jamiiforums.

Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi;

Kwanini mkoa wa Geita usibadilishwe jina ukaitwa "Magufuli" kisha makao makuu yakawa Wilaya ya Chato ifikapo mwaka 2031 (Miaka 10 baada ya kifo cha Rais wa awamu ya 5).

Eti wakuu, huyu mtoto wa dada yangu yupo sahihi?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Na wewe na akili zako zote ukaona hiyo ni hoja ya kuleta hapa jukwaani?! Wasukuma bhana! Shenji kabisa
 
Sijui lini nyuzi za Geita na Chato zitaisha humu. Hata TBC haipiti siku hawajazungumzia hayo maeneo
 
FB_IMG_1622460731270.jpg
 
Back
Top Bottom