All is Atom/Atum/Adam

Eugen TZA

Member
Aug 7, 2023
61
98
Mafikirio yote ya binadamu ni mbegu,
Chunga sana unachowaza kisiwe kibaya,
Ipo wazi apandaye uharibifu atavuna uharibifu
Kila kitu linaanzia katika fikra.

Dunia ni muunganiko wa nguvu kuu mbili,
Kama ilivyo usiku na mchana, kike na kiume,
Kufa na kuzaliwa fumbo ni (Electro-Magnetic)
EL (Elohim) Electricity ni mwanga kama jua.

M (Mason) Magnetic ni Mama kama mwezi,
Electricity ni Physical Mat. kutikisika (Vibrate),
Magnetic ni White Light kijipanga (Radiate),
Hivyo kupitia Vibration & Radiation = Reality,

Mungu ni mwanga na kupitia huo kuna uhai,
Mwili wa binadamu ni umeme (Fire) First,
Moto ndio kitu cha kwanza (Electric Waves),
Ukiungana na Magnetic Waves unapata ($).

(Sin Waves) kuzaliwa na dhambi ya asili,
Yote hii ni sayansi ya uumbaji ngumu kuelewa,
Binadamu awezi kuishi milele kutokana na ($),
Kina cha Sin Waves alama (S) inatoka upande mmoja kukatiza upande mwingine.

As above so below maisha mchana kifo usiku,
Vinasaba vyetu ni hizi Sin Waves (DNA),
Ndio maana alama ya dola ikawekwa hivyo ($)
Sio bahati mbaya Je? Ni siri gani iliyofichwa katika alama hii?

Siri kuu ya maisha imefichwa katika Unajimu,
Astrology alama ya (Zodiac) ni Sin Waves,
Makabila 12 ya Israeli ni Zodiac Signs 12,
Biblia ni kitabu chenye mafumbo mazito kuhusu elimu hii, kama huchanji huwezi kujua.

Jiwe kuu la pembeni walilolikataa waashi,
Ni alama tatu za (Zodiac) ulizoziacha,
Mimba hukaa tumboni kwa mama miezi tisa,
Inabaki miezi mitatu ambayo ni kipande cha juu kilichokatwa kwenye pyramid ∆

Ukiangalia dola utaona kipande cha juu,
Zile pembe tatu za juu zimetenganishwa,
Kwahyo mwili wa binadamu ni ulimwengu,
Katika mwili yaani Universe (Physical Form).
Kila kitu kinapatikana ndani yako.

Tample of Solomon (Soul/Solar)
Mbingu na kuzimu au (NorthPole/SouthPole)
Ark of covernent ni sehemu zinazoshikilia,
Cerebrum na Pineal Gland kwenye Ubongo,
Sun (Solar/Soul) Moon (Mind).

Moon "De(a)mo(o)n" Monster (MoonStar)
Shetani ni mwenye kupofusha akili yako,
Satan blind the mind ( 2 Wakorinto 4:4)
Wema na Ubaya au pande mbili ni ushetani,
Ndio maana ikaandikwa hakuna mwanaume wala mwanamke.

Wengi tunatumia Ubongo wa kushoto zaidi,
Ambao unadili na maandiko, material (Kiume),
Left (Lucifer/Lucid) Right (Righteous)
Ubongo wako wa kulia unadili na Uelewa, Ubunifu na Utambuzi, Bongo zote ni muhimu lakini wa kulia utakusaidia zaidi (John 21:6).

Mtihani ambao wengi tumeshindwa ni kuunganisha macho yetu mawili kuwa moja (Third Eye) Kuvuka matumizi ya kutumia Ubongo wa kushoto zaidi kuliko kulia (Stori Ya Musa Kuvuka Red Sea) We All One.
 
Sio yote nitayabebA mengine magumu ila nachukua hii itanisave


Wengi tunatumia Ubongo wa kushoto zaidi,
Ambao unadili na maandiko, material (Kiume),
Left (Lucifer/Lucid) Right (Righteous)
Ubongo wako wa kulia unadili na Uelewa, Ubunifu na Utambuzi, Bongo zote ni muhimu lakini wa kulia utakusaidia zaidi (John 21:6).

Mtihani ambao wengi tumeshindwa ni kuunganisha macho yetu mawili kuwa moja (Third Eye) Kuvuka matumizi ya kutumia Ubongo wa kushoto zaidi kuliko kulia (Stori Ya Musa Kuvuka Red Sea) We All One.
 
Back
Top Bottom