Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

Nimekuelewa vizuri sana. Naamini kabisa wewe Mshana unajua kwamba maendeleo yanakuja gradually, kumbuka hata huko kaskazini hakuna mwananchi aliyejituma akajenga barabara yake, akajitengenezea umeme na kuunganisha kwenye grid ya taifa n.k so unaposema kwamba wananchi wa Chato wanapelekewa maendeleo wasiyokuwa na uwezo nayo ni kuwakosea heshima. Hata hiyo Kasikazini kuendelea kuna mkono wa serikali, lazima ukubali hilo. Nadhani ingekuwa vizuri sasa nawewe ukaishauri serikali kuendelea kuzifikia sehemu ambazo kwa muda mrefu zimekuwa kama zimesahaulika kwa upande wa elimu, afya, miundombinu ikiwemo barabara, reli, viwanja vya ndege na michezo, umeme na huduma nyingine za kijamii ikiwemo banks, mahakama, maji safi na salama nk
Umesoma na kuelewa nilichoandika lakini?

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ficha ujinga wako

wananchi ndo walileta umeme huko au ni serikali?.
Barabara na hosp imejenga serikali ama watu?.
Kuna mkono mkubwa wa fedha za serikali hapo
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Sahau hawezsi kuondoka madarakani. hakuna dictator aliyewahi kuondoka madarakani!

Jr[emoji769]
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji116][emoji109]
Jr[emoji769]
 
Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msoga pia ilikuwa maarufu kwa nyakati zake

Jr[emoji769]
Hivi msikiti wa msoga ulijengwa na serikali? Nadhani ni barabara tu iliyopendelewa msoga, kitu ambacho si kikbwa hivyo kulalamika. Kanjia ka kufika wageni wa rais kwake.
 
Nadhani ni barabara tu iliyopendelewa msoga, kitu ambacho si kikbwa hivyo kulalamika. Kanjia ka kufika wageni wa rais kwake.
Hivi msikiti wa msoga ulijengwa na serikali? Nadhani ni barabara tu iliyopendelewa msoga, kitu ambacho si kikbwa hivyo kulalamika. Kanjia ka kufika wageni wa rais kwake.

Jr[emoji769]
 
Kumbe na wewe Jamaa ni mpuuzi hivi. Maendeleo ya watanzania leo una maana kila sehemu yanaletwa na watu wa kaskazini ? Mbona mmeshindwa kuifanya Moshi kuwa Jiji au Tanga kuwa jiji kubwa ? Mbona hiyo Arusha bado cha mtoto kwa Jiji la Mwanza? Huko Tanga na umasaini kuna nini cha maana kuzidi Sukumaland ? Nimetembea kote milimani upareni sikuona chochote cha maana zaidi ya vijumba vya hovyo hovyo na migomba isiyo na afya, leo unakuja na post ya kijinga namna hii ! Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimanjaro kuna watu ? Huko ni makaburini tu pa kwenda kuzika. 59% wote mmepakimbia. Mmebaki kubweka kama mbwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa ufupi Nguruwe hata umjengee banda la kisasa na kusakafia vizuri bado yeye atachimba sakafu mpaka apate ardhi na atabomoa ukuta ili arudi porini alikozoea
 
Hako kaeneo ka Kilimanjaro ni kadogo sana na ndio maana mnatangatanga nchi nzima kufafuta maisha. Mtu unamiliki robo eka ya migomba halafu unajiona eti tajiri. Kwa akili zenu hizi, Ikulu mtaisikia tu, hamtaingia kamwe
Naam kina @zakale wao wanasubiri kujengewa Sisi tulishajenga na tunazidi kuboresha
Mambo ya hospital za wilaya,vituo vya afya nk kule kilimanjaro ni tangu 1980's wao ndio wanajengewa sasahv

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viwanda vya maziwa na products za maziwa mfani Simanjiro pamoja na viwanda vya nyama vinamilikiwa na Wamasai.

Asilimia ndogo ndio inamilikiwa na serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mshana aendelee tu kuandika habari za ushirikina na uchawi tu ndicho kitu anachokiweza. Kwa akili hii ndio maana huko kwao upareni mpaka leo jamii moja hawaelewani wa Mwanga na Same wanabaguana sana katika nyanja mbalimbali. Halafu mijitu kama hii tuiruhusu iende Ikulu, thubutu patachimbika.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wa manispaa ya moshi wanajiona wajanja sana wakati Dodoma imewapita hivi hivi na kuwa jiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi una Akili?

Unafananisha Dodoma ambayo wagogo wamejengewa kila kitu na serikali?

Wao washukuru kuwa Dodoma ipo katikati ya nchi, sababu iliyomfanya Baba wa Taifa kupafanya makao makuu.

Wagogo ni Wavivu wa mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa sijui hata kanda ya ziwa umeshafika, maana kila unachopost ni uharo tu na kukurupuka. Unalinganisha mmsai na msukuma wewe ? We jitekenye tu hujui kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni upuuzi bro eti yale ya chato yangepelekwa kaskazini kisingeharibika kitu, acha ujinga wewe hata huko chato hakitaharibika kitu usijifanye kwenu mnaakili sana kuliko watu wa chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…