Mkichat kila wakati "Niambie"

Unakuta mtu kila baada ya dk 10 katext nambie daaaahh jamani huwa inakeraaaaa
 
Niambie my[emoji6]
 
Wanalipendaje, kuambiwa hivyo au kulitaja...
Me silipendi iwe kulitumia au kuambiwa hivyo...
Wanapenda kulitumia, mie silipendi kuambiwa wala kulitumia. Ukiniambia hivyo nami nakujibu hivyo hivyo.
 
Kwa kweli na wa kome, wanakera mno
 
Demu akintumia ilo neno 'niambie' wala siendelei kuchat naye..!bored word.
 
Wanapenda kulitumia, mie silipendi kuambiwa wala kulitumia. Ukiniambia hivyo nami nakujibu hivyo hivyo.
Mwanaume anayelitumia namfananisha na James delicious...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…