hapa ndipo unaona akili za mwafrika mavi matope1 Yamejazana na akili ndogo mavi. haya majuha Ukiyaambia kuwa kila mtu aje na kopo litageuka kubwa Scania bus yataleta!
Akili mavi wewe,ongea kwa hoja na si kutukana.
Unafikiri wewe una akili kuliko watu wote 65000 waliohudhuria pale?,unafikiri hakuna wasomi kukushinda wewe wamehudhuria pale?
Kama una uelewa wa kutosha na una akili za kawaida nenda,fanya utafiti wako halafu uje hapa utoe hoja na ushahidi kuthibitisha hoja yako na si kutukana watu hovyo
 
Nimesema kishk kwakuwa najua ushawishi alionao kwa waislam wa tz? Sidhani kama Kuna sheikh mwingine tz afanye jambo kama lile ataweza ujaza uwanja wa mkapa na uhuru kwa pamoja, ndio maana kila yakifanikiwa Yale mashindano anapongezwa kishk
Kama hujui huenda theluthi moja ya wahudhuriaji wote pale ni waislamu lakini kwa huyo Kishki wanaoenda pale ni waislamu pekee,mkristo hawezi kwenda
 
Asante kwa mchango wako..sadaka ni ibada.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kujaza uwanja wa Mkapa bila promo ni kipaji! Haya mengine tutatofautiana lakini Mwamposa ameweza jambo ambalo timu za mpira maarufu huingia gharama kubwa ya promo na uwanja wanashindwa kuufanya kuwa full!

Hongera Mwamposa kwa hilo.
Amewekeza katika eneo linalogusa maisha ya watu kwa 200%. Vijana hawana ajira, vipato vya wengi wetu ni duni, ufukara na umasikini, ndoa zinapumulia mirija, wapo wanaotafuta ndoa kama almasi, kuna watu wanaumwa na huko hospitali hakuna matumaini, kuna watu wanatafuta watoto kwa zaidi wa miaka 10, biashara hazina return inayoeleweka.

Kama kweli kuna watu wanaenda na kuona mafanikio, watazidi kukanyaga mafuta na kununua maji, kuombea ardhi zao hadi huyo mwamba awe bilionea.
 
of what use to me, acha yaliwe hela majuha including you of course, seem you are staunch believer of Mwamposa the tapeli!
Huna hoja..wivu wa kike umekujaa..get a job...acha kujihangaisha na maisha ya watu ambao hawajawahi kuja kukuomba msaada.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwahiyo hela ulitaka ziende kwa mafisadi ya kijani ndio ufurahi.?

Ila zikienda kama sadaka roho inakuuma..huo ni wivu wa kike.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwahiyo hela ulitaka ziende kwa mafisadi ya kijani ndio ufurahi.?

Ila zikienda kama sadaka roho inakuuma..huo ni wivu wa kike.

#MaendeleoHayanaChama
Kuna viumbe lazima muhemkwe, kuna mahali umeona dalili za mimi kuwa na wivu. Nimesema aliye nacho anaongezewa, huo ni wivu?. Futseke zako!
 
Shida iko wapi??wacha awe bilionea ulitaka awe masikini ndio ufurahie?get a job

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa lugha hii wewe sio mtu wa Mungu.....mtawaokota haohao mazezeta...
 
Makasiriko, kwani hujui huo uhuni unaofanywa na hawa manabii wa uongo?.
 
Nimepita Pale jana mida ya saa nne unusu usiku, Aisee sio poa, nimeona mkusanyiko wa Watanzania pale ambao sijawahi kuushuhudia katika mizunguko yangu, ata angepewa viwanja vitatu kama vile vingejaa na watu wengine wangekosa nafasi. Imani yangu si Mkristo wala si Muislam, lakini nimejifunza kitu pale, bado watu wanaimani na kile wanachokiamini haijalishi wewe ukamuona yupo sahihi ama anapotea. imani yake inaweza mfikisha popote pale. Kama una watu Usiku wa leo wametengeneza pesa ndefu ni watu wa daladala. acha Kabisa. Hongera Mwamposa, Hongereni woote mliofika pale kwa nia..hakika nimejifunza kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…