Mkeo kubeba mimba kisha akakuchukia.

Mkeo kubeba mimba kisha akakuchukia.

Atajibiwa na wanaume wenzie ambao wake zao walishapita huko.
Mimi nimeshamsamehe kabisa,nilitaka ajue tu kuna wanaokwazika na kauli zake.

Nipe hali za wanangu achana na walimwengu!!!!!
 
Atajibiwa na wanaume wenzie ambao wake zao walishapita huko.
Mimi nimeshamsamehe kabisa,nilitaka ajue tu kuna wanaokwazika na kauli zake.

Ndio wanaitwa great thinkers hao
 
Wewe uliyesema wanawake ni mizigo ya uchafu kumbe nawe una mpenzi? Naye ana jinsia ya kike!
Maajabu hayatakwisha!!!
cc. DEMBA
ni kweli ENNIE wonders shall never end,, afu mie nimeikumbuka post ake aisee
 
Wewe uliyesema wanawake ni mizigo ya uchafu kumbe nawe una mpenzi? Naye ana jinsia ya kike!
Maajabu hayatakwisha!!!
cc. DEMBA

haaaaha! lazima achukiwe maana anakuwa amemwingizia uchafu tumboni, ebo!
 
Vizuri sn kijana kwa kuwa mwelewa na kutambua ni wapi uliteleza,naona ss yameisha tujenge urafiki as a one family,tuache kumsakama kijana kaomba msamaha.Atakayeendelea ana lake jambo.Kujichanganya kupo ktk maisha.Nami pia naongeza toba"SAMAHANI SANA DADA ZANGU NA KAKA ZANGU MLIOGUSWA NA HILI. Resolutionments are for the good end.
 
kabisa mkuu,I am very sorry jamani, Naomba watu wote niliowakwaza wanisamehe kwa hili.
 
he he its normal......mwenzio wife anapenda kuninusanusa kila muda
 
Ni kawaida sana hiyo, babu yako nae muongo tu
Bandugu naomba
ushauri,inakuaje mkeo au mpenz wako akibeba mimba kisha akakuchukia na
hataki kukuona,nakumbuka nikiwa mdogo babu yangu alikua akituambia kua
mkeo akibeba mimba kisha akakuchukia basi ujue mtoto sio wako,kua
haiwezekan mtoto wako akuchukie,hyo ni ishara kua hyo sio dam yako,hii
imekaaje wakuu,au ni kweli nimeibiwa??ushauri wenu mliowah kukabiliana
na hili.
 
Ni kawaida sana hayo na kwa ushauri tu sema inakuwa ngumu kwa vijana wa mjini ambao hawana watu wazima wa kuwaambia mambo ya ukubwani lakini ikifikia kipindi hicho kama uko vijijini unaambiwa moja baada ya jingine na unashauriwa kama mwanaume unatakiwa uweje kipindi mkeo ni mjamzito mpaka anajifungua,pole sana.
 
mmmmh Ennie sitakaa niisahau ile comment halafu aliquote comment yangu........uzuri ile thread imeondolewa..
Wewe uliyesema wanawake ni mizigo ya uchafu kumbe nawe una mpenzi? Naye ana jinsia ya kike!
Maajabu hayatakwisha!!!
cc. DEMBA
 
Kuna wanaume ni balaa...nikiwa nasoma kuna kijana alitukana wasichana mpaka akapewa adhabu ya kudeki hall la chalula mwezi...imagine shule za siku hizo walimu walikuwa hawajuhi mambo ya gender lakini walichukizwa sana....

Natamani huyo kijana nijue anaishije na mkewe (kama anaye)...kuna wanaume wa jamii fulani (wafugaji) mwanamke kwao wanamuona kama sijuhi nini. Ilikuwa high school (boarding) lakini mpaka leo sijamsahau yule kaka...

Wewe uliyesema wanawake ni mizigo ya uchafu kumbe nawe una mpenzi? Naye ana jinsia ya kike!
Maajabu hayatakwisha!!!
cc. DEMBA
 
Back
Top Bottom