Mkeo kubeba mimba kisha akakuchukia.

Mkeo kubeba mimba kisha akakuchukia.

duh!we mwanamke si uwe na huruma na mimi,nimekukosea nini jamani

Kauli zako kuhusu wanawake sijazipenda,umenishangaza unapokuja kuomba ushauri kwa wanawake hao hao ulowaita mizigo ya uchafu kuhusu mwanamke tena!!
Waulize wanaume wenzio walikutana nayo
 
kwani nimeongea jambo gan baya ndg Ennie,mbona mwenye mada kaandika wanawake mizigo hujakomaa nae unanikomalia mimi jamani

Hakuna baya,yote mema tu.
Mtoa mada pia nilimwambia kuhusu kauli yake ila akawa muungwana akaomba radhi.
Wewe ndio ukajifanya unawafahamu zaidi wanawake kuliko hata aliyewaumba!
 
[/B]
Kauli zako kuhusu wanawake sijazipenda,umenishangaza unapokuja kuomba ushauri kwa wanawake hao hao ulowaita mizigo ya uchafu kuhusu mwanamke tena!!
Waulize wanaume wenzio walikutana nayo
aisee una hasira sana na mimi,nisamehe bure ndg yaangu
 
Wewe uliyesema wanawake ni mizigo ya uchafu kumbe nawe una mpenzi? Naye ana jinsia ya kike!
Maajabu hayatakwisha!!!
cc. DEMBA

Kwanza mjibu swali lake kisha msamehe dada
 
Last edited by a moderator:
huko ni kuendekeza tu mm wife alipokuwa na uzito nlimwambia staki drama unless unarudi shamba mbona alitulia tu...na sikuona mbwembwe zozote
 
Kwanza mjibu swali lake kisha msamehe dada

Atajibiwa na wanaume wenzie ambao wake zao walishapita huko.
Mimi nimeshamsamehe kabisa,nilitaka ajue tu kuna wanaokwazika na kauli zake.
 
Yani Ennie leo kama angekuwa mbunge basi ni Tundu Antipas Lissu,katetea jinsi yake kwl.Hakika pamoja na namna tuwachukuliavyo hawa watu- WANAWAKE twapasa KUWAHESHIMU SANA. Matusi dhidi yao si busara,hebu fikiri kama ndo dada yako anafanyiwa hayo? au mama?TAFAKARI.Kwa Ennie mie NAMPENDA SANA.
 
nimekuelewa mkuu,mwenyewe roho imeniuma sana kuona ni jins gani nimemuudh mtu au watu humu ndani,mnisamehe jamani.
 
Back
Top Bottom