Mkeo kubeba mimba kisha akakuchukia.

Mkeo kubeba mimba kisha akakuchukia.

kaka km

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
1,336
Reaction score
689
Bandugu naomba ushauri,inakuaje mkeo au mpenz wako akibeba mimba kisha akakuchukia na hataki kukuona,nakumbuka nikiwa mdogo babu yangu alikua akituambia kua mkeo akibeba mimba kisha akakuchukia basi ujue mtoto sio wako,kua haiwezekan mtoto wako akuchukie,hyo ni ishara kua hyo sio dam yako,hii imekaaje wakuu,au ni kweli nimeibiwa??ushauri wenu mliowah kukabiliana na hili.
 
Duh usianze fikira hizo kuwa sio wako, kama vipi kapime dna.

Wengi wameshaongelea humu juu ya hili kwahiyo sechi upate idea zaidi ya nini cha kufanya
 
Ndio siku nyingine afikirie kwanza kabla ya kuandika
Atakuwa amesikia,msaidie sasa juu hilo swali lake kama ni kweli mwanamke mwenye mimba akikuchukia basi mimba siyo yako
 
Namhurumia sana huyo mkewe na huyo mtoto atakayezaliwa.
Unajua wengine huwa wanalopoka hata bila kujua matokeo yake,ndo kama huyo kalopoka halaf baadaye anakuja kuwaomba ushauri aliowatukana
 
Unajua wengine huwa wanalopoka hata bila kujua matokeo yake,ndo kama huyo kalopoka halaf baadaye anakuja kuwaomba ushauri aliowatukana

Wala hajajifunza,bado anaendelea kuropoka kule.
Kwa tabia zake huyu naona huyo mkewe amechelewa kumchukia na hata akijifungua ataendelea kumchukia.
 
Wewe uliyesema wanawake ni mizigo ya uchafu kumbe nawe una mpenzi? Naye ana jinsia ya kike!
Maajabu hayatakwisha!!!
cc. DEMBA
duh!we mwanamke si uwe na huruma na mimi,nimekukosea nini jamani
 
Back
Top Bottom