Kandambilimbili
R I P
- Nov 11, 2008
- 782
- 43
Habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa Mkemia E Mashimba, Phd. amefariki ghafla huko Tanga alikokuwa amearikwa kama mgeni rasmi kwenye mahafari ya darasa la saba.
Mauti yamenkuta hotelini alikikuwa amefakia baada ya kuanguka ghafla, habari kifo chake kimegundulika baada ya dreva wake kumpitia leo asubuhi kwa ajili ya kuanza safari ya kurejea DAR.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa . . . . . . .
Mkuu, kwani alikuwa anaifanyia kazi ishu yoyote tata au inayowahusu vigogo?..kwanini upate shaka?Ivyo vifo vya ghafla ninawasiwasi navyo.
Kama ni mapenzi ya mungu may his soul rest in peace.Amen
Kweli duniani tuna maisha mafupi
Mungu awafariji wafiwa na kuwapa rehema zake.
Jamani tupime afya zetu kuepuka haya madhila ya kuwaaacha wapendwa wetu wajane ghafla ghafla ingawa mara nyingine kifo huja kwa wish zake tu