PASSIONATE
Member
- May 20, 2015
- 69
- 27
Sio Muda tutakutana kwa Ndugai
Ana lodge zake mkapange huko zimekuwa diliSio Muda tutakutana kwa Ndugai
Kwa imani ameshatenda Mkuu usiogope.Mungu aliye mkuu wa yote akaifanye hii kuwa intavyuu ya mwisho kwangu upande wa TRA endapo nitakua shortlisted, kwakua idadi inatia moyo.
Mungu akusimamie amin.Mungu aliye mkuu wa yote akaifanye hii kuwa intavyuu ya mwisho kwangu upande wa TRA endapo nitakua shortlisted, kwakua idadi inatia moyo.
Mwaka 2017 TRA walitangaza nafasi nyingi tu mwezi wa saba,na mwezi wa tisa ya mwaka huo huo watu wakaitwa kwenye usaili.mchakato ulitumia miezi miwili tu ukizingatia waombaji walikua wengi sana.Mwaka juzi 2020 post zilitoka mwezi wa pili huko huko TRA intavu ikafanyika july so msishangae hapo kaeni kwa kutulia
Relax mwezi huu mkeka unatoka jiandaeMwaka 2017 TRA walitangaza nafasi nyingi tu mwezi wa saba,na mwezi wa tisa ya mwaka huo huo watu wakaitwa kwenye usaili.mchakato ulitumia miezi miwili tu ukizingatia waombaji walikua wengi sana.
Me nadhani hawa wameshapeana hizi kazi tayari kimya kimya ukizingatia sasa hivi watumishi wengi serikalini ni kama hawamuogopi Maza hivyo wanajifanyia mambo yao hovyo hovyo tu.
Ndio vzr wakipeana mkuu,tafuta shughuli nyingine ya kufanya.Sio lazima kusubiria hio interview.Mwaka 2017 TRA walitangaza nafasi nyingi tu mwezi wa saba,na mwezi wa tisa ya mwaka huo huo watu wakaitwa kwenye usaili.mchakato ulitumia miezi miwili tu ukizingatia waombaji walikua wengi sana.
Me nadhani hawa wameshapeana hizi kazi tayari kimya kimya ukizingatia sasa hivi watumishi wengi serikalini ni kama hawamuogopi Maza hivyo wanajifanyia mambo yao hovyo hovyo tu.
Sie tulio graduate toka 2015 tushazoea hakuna kipya tunapuliza ganja tu no stress ila hawa wa juzi wanazid vurugwa na hawa majamaaNdio vzr wakipeana mkuu,tafuta shughuli nyingine ya kufanya.Sio lazima kusubiria hio interview.
Acha wale urefu wa kamba Yao.




😄😄😄 Mkuu sasa huyo kijana kila saa yeye anataka wanaume wawe wanamtia Moyo tu,ooh vumilia interview inakuja sijui Nini.Sie tulio graduate toka 2015 tushazoea hakuna kipya tunapuliza ganja tu no stress ila hawa wa juzi wanazid vurugwa na hawa majamaa![]()
Watu tuna uzoefu na hii serikali miaka 7, asiyumbe na kuwasikiliza hao waduanzi, ajira za kujiajir zilizopo kwa magraduate saiv ni ukabaji, utapeli, kuuza ganja na uchangudoa ukibahatika ubaharia kwenda duniani huko sio kubaki hapaMkuu sasa huyo kijana kila saa yeye anataka wanaume wawe wanamtia Moyo tu,ooh vumilia interview inakuja sijui Nini.
Wenzake kitaa huko wameshakua sugu,wanakula zao ganja mixer makushabu kutoa stress![]()



Hii nchi ni disaster bro hawana jipya Wala maendeleo, imefika hatua gvt inashindwa kutofautisha kati ya wajibu na maendeleohapo kwny uzoefu nimecheka kichizi aisee
![]()



Nashukuru mkuuKwa imani ameshatenda Mkuu usiogope.
Urahisi wa kuajiriwa ili ukawinde maduka ya watu..!!Tax management ila naona ni rahisi sana ht ktk mitihani yake
Hatukatai wewe na wa kupuliza na wenzako mmekosa ajira mkaamua muwe mnavuta bangi huko mtaani ila sasa embu mpeni maneno positive kijana yupo fragile huyoSie tulio graduate toka 2015 tushazoea hakuna kipya tunapuliza ganja tu no stress ila hawa wa juzi wanazid vurugwa na hawa majamaa![]()
uko Sahihi kwa upande mwingineAtapewa maneno ya kufarijiwa na mkewe.
Kwani wewe ambavyo umefanya interview huko JKT,JW, POLICE, TAKUKURU na kote huko umepigwa chini na bado uko kitaa unapambana na hali yako Ni Nani anakupa maneno laini laini ya kukufariji?
Mkuu kwani TASAC na TRA kunatofauti gani..Acha Uongo. Mtoto gani na wa Nani??
Watoto wa wakubwa hawafanyi Kazi TRA. Tena kwa position hizo ndo hamna kabisa. Ingekuwa Tasac au TPA au hata TPDC ningekubali. TRA kawaida Sana. Endelea kusubiri utaitwa najua na wewe ni Job seeker
Pepa ya AGOA ilikua nyepesi kama maji mkuuafu wakuda hua wakiwa na marking scheme hawajui kujivunga yaani mtu anatusua kweli mpk wengine wanaonekana mazuzu.
Ile pepa ya AGOA Kuna mtu alipata 97,mpk wengine waliofeli wanaambiwa nyie hamsomi tu pepa ilikuaje ngumu wkt Kuna mtu ka-score 97
![]()
AGOA nayosema mimi ni ya 2017..kwani ile nayo ilivuja?😄😄😄 sawa mkuu.
Washukuru Sana kamati iliyovujisha Ile kitu.