grandMullah23m
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 248
- 339
Sio kweli mkuu...subira muhimu tuWatakuwa washaajiri fanya mambo mengine
Sio kweli mkuu...subira muhimu tuWatakuwa washaajiri fanya mambo mengine
Mitihan wanatafutwa walimu kutok katik vyuo n walimu wanakuwa n wanne kila mwalimu anatikiwa apelekeYeah
Hapn boss wanachukuliwa walimu kutok katik vyuo 4 tofauti jumla then wanatunga maswali almost 20 n kutok kw kila mwalim litachukuliwa swali 1 walimu hao wanakuwan wa course husika.Hii mitihan wanatunga wakina nan 🤔🤔
Mfano tra ina maana wafanyakaz wanatunga na kumark papers
Umejuaje?Mitihan wanatafutwa walimu kutok katik vyuo n walimu wanakuwa n wanne kila mwalimu anatikiwa apeleke
Hapn boss wanachukuliwa walimu kutok katik vyuo 4 tofauti jumla then wanatunga maswali almost 20 n kutok kw kila mwalim litachukuliwa swali 1 walimu hao wanakuwan wa course husika.
Wanachukuliwaga walimu wa chuo Cha kodiMitihan wanatafutwa walimu kutok katik vyuo n walimu wanakuwa n wanne kila mwalimu anatikiwa apeleke
Hapn boss wanachukuliwa walimu kutok katik vyuo 4 tofauti jumla then wanatunga maswali almost 20 n kutok kw kila mwalim litachukuliwa swali 1 walimu hao wanakuwan wa course husika.
Kwamba chuo cha kodi tu ndio kina wataalamubwa kodi?Wanachukuliwaga walimu wa chuo Cha kodi
Yes hao huingia Hadi kwenye oral, wengi wanapitia hicho chuo, huwa wako vizuri kulinganisha na vyuo vingine vinavotoa course za mambo ya taxKwamba chuo cha kodi tu ndio kina wataalamubwa kodi?
Sio kweli.Yes hao huingia Hadi kwenye oral, wengi wanapitia hicho chuo, huwa wako vizuri kulinganisha na vyuo vingine vinavotoa course za mambo ya tax
Sawa mkuu, unajua ukweli wako asilimia 90 ya walioko tra huwa wamesoma chuo hicho Cha kodi, tena ma diplomas ni wengi hupata hukoSio kweli.
Mkuu,kufanya kazi tra sio mpaka uwe umetoka chuo cha kodi na kama ulikua hujui graduates wengi wa tra ni kutoka udsm,mzumbe na ifm.labda nikukumbushe pia kabla ya utumishi kuingilia mchakato wa recruitment kwenye taasisi za umma,hao tra walikua wanaendesha usaili wenyewe,na wao tra walikua wanatoa tenda ya kuandaa hizo interview kwa vyuo viwili tu ambavyo ni udsm au mzumbe.je kwa nini hawakutumia watu wao wa kutoka chuo cha kodi?Point yangu ya msingi ni kwamba,utumishi wanaweza wakatumia taasisi yeyote tu kuandaa maswali ya usaili,na oral interview wanaofanyisha huwa ni ma hr wa tra kutoka mikoa mbalimbali ndiyo huwa wanaalikwa.mwaka niliofanya mimi oral interview jamaa alijitamnulisha kabisa kuwa ni HR manager kutoka mkoa wa Kilimanjaro alikua anasaidiana na jamaa wengine wawili mmoja kutoka tra headquarters na mwingine alikua anatoka utumishi.Sawa mkuu, unajua ukweli wako asilimia 90 ya walioko tra huwa wamesoma chuo hicho Cha kodi, tena ma diplomas ni wengi hupata huko
Yote umeandika sahihi interview yoyote ila huwa lazima HR awepo pia watu wa hicho kitengo ka Cha TRA lazima awepo, but my concern wengi wa hicho chuo Cha kodi hupata hizo nafasi based on competency na sijasema huwa wanabebwa, maana diploma na certificate waliopita hicho chuo kuanzia certificate huwa wanakuwa vizuri tofauti na hao wa vyuo vingine au wa bachelor, hata kwenye written huwa wanakuwa vizuri maana ni vitu walikwisha practice zamani, na hata huko utumishi bachelor hushindwa utendaji na diploma walio wengi.Mkuu,kufanya kazi tra sio mpaka uwe umetoka chuo cha kodi na kama ulikua hujui graduates wengi wa tra ni kutoka udsm,mzumbe na ifm.labda nikukumbushe pia kabla ya utumishi kuingilia mchakato wa recruitment kwenye taasisi za umma,hao tra walikua wanaendesha usaili wenyewe,na wao tra walikua wanatoa tenda ya kuandaa hizo interview kwa vyuo viwili tu ambavyo ni udsm au mzumbe.je kwa nini hawakutumia watu wao wa kutoka chuo cha kodi?Point yangu ya msingi ni kwamba,utumishi wanaweza wakatumia taasisi yeyote tu kuandaa maswali ya usaili,na oral interview wanaofanyisha huwa ni ma hr wa tra kutoka mikoa mbalimbali ndiyo huwa wanaalikwa.mwaka niliofanya mimi oral interview jamaa alijitamnulisha kabisa kuwa ni HR manager kutoka mkoa wa Kilimanjaro alikua anasaidiana na jamaa wengine wawili mmoja kutoka tra headquarters na mwingine alikua anatoka utumishi.
Nakubaliana na wewe kuwa diploma holders ni wengi but sio wa kutoka chuo cha kodi pekee na katika mchakato wa ajira hao wa kutoka chuo cha kodi hamna favour yoyote wanayopata isipokua ni competence ya mtu ndiyo inaangaliwa.
Sawa, basi tuishie hapa kwenye kubishana kwetu mkuu.Yote umeandika sahihi interview yoyote ila huwa lazima HR awepo pia watu wa hicho kitengo ka Cha TRA lazima awepo, but my concern wengi wa hicho chuo Cha kodi hupata hizo nafasi based on competency na sijasema huwa wanabebwa, maana diploma na certificate waliopita hicho chuo kuanzia certificate huwa wanakuwa vizuri tofauti na hao wa vyuo vingine au wa bachelor, hata kwenye written huwa wanakuwa vizuri maana ni vitu walikwisha practice zamani, na hata huko utumishi bachelor hushindwa utendaji na diploma walio wengi.
So ninachokisema ni kitu ninachokijua na uzoefu tu wa niliyoshuhudia kwa watu ninao wa fahamu
Ni kweli kabisa 70% wa wafanyakazi wa TRA wametoka chuo cha kodi, kipindi cha nyuma kabla ya recruitment process kuanza kufanywa na utumishi wale best student wa chuo cha kodi walikuwa wanachukuliwa moja kwa moja kwenda TRA ila ata sasa pamoja na mchakato wa ajira kufanywa na utumishi (competency based) utakuta 70% ya wanafaulu na kupata kazi ni kutoka chuo cha kodi. Kumbuka chuo cha kodi ni sehemu ya TRA tena ata watumishi wa TRA kutokana na training schedule plan ya mwaka utakiwa kwenda chuo cha kodi kusoma na wanafanya na mitihani kabisa. Na ata waajiriwa wapya kabla hawajaenda sehemu za kazi lazima wapelekwe chuo cha kodi kwa mda flani. Kuna kipindi nakumbuka waajiriwa wapya walikaa chuo cha kodi kusoma kwa mwaka mzima.Yote umeandika sahihi interview yoyote ila huwa lazima HR awepo pia watu wa hicho kitengo ka Cha TRA lazima awepo, but my concern wengi wa hicho chuo Cha kodi hupata hizo nafasi based on competency na sijasema huwa wanabebwa, maana diploma na certificate waliopita hicho chuo kuanzia certificate huwa wanakuwa vizuri tofauti na hao wa vyuo vingine au wa bachelor, hata kwenye written huwa wanakuwa vizuri maana ni vitu walikwisha practice zamani, na hata huko utumishi bachelor hushindwa utendaji na diploma walio wengi.
So ninachokisema ni kitu ninachokijua na uzoefu tu wa niliyoshuhudia kwa watu ninao wa fahamu
Bora pia iwe kipindi cha January Maana Hata nauli zitashuka bei sahizi ilikuwa ni maumivu tu bei ya nauli kwenda mikoani.Natabiri January Mkeka wa TRA unatoka na January mnapiga Interview. Natabiri tu.
Kama wewe unajua una uhakika utakuwa shortlisted anza kujiandaa.
#Nuhu alianza kujenga Safina kabla mvua kuanza kunyesha. Natabiri tu.
Yes uko sahihi kile chuo kilianzishwa kwa ajili hyo maana wanafunzi wa pale wakifaulu interview huwa wanajua jinsi ya kutenda kazi na waelewaNi kweli kabisa 70% wa wafanyakazi wa TRA wametoka chuo cha kodi, kipindi cha nyuma kabla ya recruitment process kuanza kufanywa na utumishi wale best student wa chuo cha kodi walikuwa wanachukuliwa moja kwa moja kwenda TRA ila ata sasa pamoja na mchakato wa ajira kufanywa na utumishi (competency based) utakuta 70% ya wanafaulu na kupata kazi ni kutoka chuo cha kodi. Kumbuka chuo cha kodi ni sehemu ya TRA tena ata watumishi wa TRA kutokana na training schedule plan ya mwaka utakiwa kwenda chuo cha kodi kusoma na wanafanya na mitihani kabisa. Na ata waajiriwa wapya kabla hawajaenda sehemu za kazi lazima wapelekwe chuo cha kodi kwa mda flani. Kuna kipindi nakumbuka waajiriwa wapya walikaa chuo cha kodi kusoma kwa mwaka mzima.
SawaSawa, basi tuishie hapa kwenye kubishana kwetu mkuu.
Nafasi za tra zilishajzwa na watu wenye connection na wakubwa. Kuna mmoja ameingizwa kazini na waziri.... Wala hakuna interview wala nnMambo job seekers wenzangu?
Kuna mwenye fununu ya hawa utumishi watatoa lini ule mkeka wa kazi za tra ambazo deadline ilikua 4/11/2021?
Tunataka tukajaribu bahati zetu.
Aisee.kwamba hii nchi ina wenyewe kama nape alivyosema?Nafasi za tra zilishajzwa na watu wenye connection na wakubwa. Kuna mmoja ameingizwa kazini na waziri.... Wala hakuna interview wala nn
Fungua PM basi mtoto mzuri tuongee.Sawa
Acha Uongo. Mtoto gani na wa Nani??Nafasi za tra zilishajzwa na watu wenye connection na wakubwa. Kuna mmoja ameingizwa kazini na waziri.... Wala hakuna interview wala nn