Wenzako wanaomba we unasubir maoni ya watu,kwann hujiamini jmn?KUna nafasi tena zimetoka TRA Ajira portal , Maoni yenu au ni kupoteza mda tuu kama mwanzo ....
Cha muhimu jua mkeka this month utatoka kwahiyo hakikisha umejiandaa vya kutosha maana bado una muda ili ukienda kupiga Paper usibakie unalalamika Paper ngumu au wamewahisha badala ya kuchelewesha.Ivi usaili wa April wa TRA mpaka leo bado ni miezi sita dah hii nchi !![]()
Nimeomba halafu sijawahi kugusa hata notice halafu ndio umenishtua ngoja nitafute hata notice nipitie maana hii ndio interview ya mwisho naona maana nishafanya interview mpk utumishi wamenikalili suraCha muhimu jua mkeka this month utatoka kwahiyo hakikisha umejiandaa vya kutosha maana bado una muda ili ukienda kupiga Paper usibakie unalalamika Paper ngumu au wamewahisha badala ya kuchelewesha.