Kavuruga kupitisha mchakato wa ajira utumishi sio?Alale vipi pema wkt yeye mifumo yote ya ajira aliivuruga hovyo hovyo.Akalale alikojichagulia
Inasikitisha sana kwakweli.Hizi nafasi zilienda wpi jamani tangu August Hadi leo hii au wamehairisha ujue wanaweza wakawwa wamehairisha kwa nyakati hiz Hili ni jambo la kawaida hawaogop now
😁😁 Kumbe hata haujui mchakato wa ajira kupitia utumishi umeanza tangu enzi za JK huko.Kavuruga kupitisha mchakato wa ajira utumishi sio?
😁😁 Labda wawe watoto wa mama Samia ndio watapigiwa simu wajichagulie.Kuna jamaa baadhi wamepigiwa simu na utumishi kuchagua kada moja wapo kati ya nyingi walizochagua so mchakato bado unaendelea kuweni na subira wataita tu
Motivational speakers bana, hua mnafurahisha Sana.Mpuuzi huyo,sasa kujinyonga ndio amesolve kitu gani,hapa Tanzania yeye tu ndio asiyekua na ajira?
Kweli mkuu, nadhani kwa sasa kundi linalo ongoza kwa kua na matatizo ya akili(mental illines) itakua Ni vijana.Sidhani Kama kundi lingine linawafikia.Haswaa maisha ya bongo ni kitendawili ambacho mtego wake kuvumbua ni mgumu
Kweli mkuu, nadhani kwa sasa kundi linalo ongoza kwa kua na matatizo ya akili(mental illines) itakua Ni vijana.Sidhani Kama kundi lingine linawafikia.


vijana wa bongo wanaishi kama mashetani au misukule, utakosaje kudataLabda wawe watoto wa mama Samia ndio watapigiwa simu wajichagulie.
Sijaelewa vitu viwili mkuu.Ubishi si jambo zuri mkuu dadisi fanya uchunguzi
😁😁😁 acha vijana wale ndumu tu, hakuna namna tena.Kwa stress hizo vijana hata nguvu za kiume zitatoka wapi 😄😄😄vijana wa bongo wanaishi kama mashetani au misukule, utakosaje kudata
acha vijana wale ndumu tu, hakuna namna tena.Kwa stress hizo vijana hata nguvu za kiume zitatoka wapi
![]()



kabisaa 
Duh unadharau we jamaa,soma sana huu mwez majina yanatoka upunguze stressKumbe hata haujui mchakato wa ajira kupitia utumishi umeanza tangu enzi za JK huko.
Sikulaumu Sana,ndio matatizo ya vijana walio graduate majuzi kutoka vyuoni.
😄😄😄 tuma salamu kwa watu watatu tafadhali.Duh unadharau we jamaa,soma sana huu mwez majina yanatoka upunguze stress
Zote zimfikie mzee wa kupulizatuma salamu kwa watu watatu tafadhali.
Sijaelewa vitu viwili mkuu.
1.Huo utaratibu wa kupigiana Simu na kuulizwa anachagua kada ipi siufahamu.
2.wakishaulizwa hivyo then ndipo interview kwa watu wote iitishwe au kwa waliopigiwa simu tu?
Ukisema wanapiga simu kwa style hio,basi jibu Ni rahisi tu wanafanya hivyo ili kuhakikisha mtu mmoja ameomba kada 1 na sio mtu mmoja ameomba kada 2 na hii Ni kupunguza tu 'overlapping' na khs watu maelfu kuomba hizo kazi hio Ni lazima maana kazi hizo hazijahitaji experience so lazima hapo nyomi liwe Kama lote.Hakuna namna ya kukwepa Jambo hilo.Kwa kada ya ICT nina jamaa zangu wanne nawafahamu wamepigiwa simu wakiambia wachague kada moja ya kufanyia pepa huu utaratibu sijui umeanza lini lakini inaonesha kuna watu wengi mno wameomba hizi nafasi na utumishi hawaselect tu all alf wakaita , wanafanya uchambuzi ndio waite kumbuka hizi nafasi zilitoka nyingi mno na watu wengi sana na nimekuambia hivi nimeshuhudia watu wakipigiwa simu kutoka utumishi
Kwa niaba yake nasema asante Sana 😄😄😄Zote zimfikie mzee wa kupuliza
Duh ngoma ngumuNasikia kuna mkanganyiko kidogo wanataka kuchukua watu wanaojitolea jeshini kama ilivyo kua kwenye usaili wa Uhamiaji kwa hivyo kama hujapita jeshi ni tatizo