wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,829
Hahah hakika itakua Ni miujiza ya Karne hio.😁😁😁huenda ikawa mara ya kwanza
Hahah hakika itakua Ni miujiza ya Karne hio.😁😁😁huenda ikawa mara ya kwanza
Mwaka 2020, walitangaza kwanza nafas za Tax peke yake mwez Feb, baadae Tena wazitangaza za customs ikavutwa hadi July, mwaka 2019 ilifanyika July, mwaka 2021 kama SI July au June...Yaani tangazo litoke October then Waite interview June,yaani miezi 9 baada ya tangazo Lao.
Kitu Kama hicho kilishawahi kutokea kabla?
Mwaka 2017 kazi za TRA zilizopotoka waliomba watu 59,000 na wakaitwa watu 29,000 😄😄😂 kikubwa kupita kwenye written oral hakuna kitu
Aisee watakua wametishana sana mzee baba.Mwaka 2020, walitangaza kwanza nafas za Tax peke yake mwez Feb, baadae Tena wazitangaza za customs ikavutwa hadi July, mwaka 2019 ilifanyika July, mwaka 2021 kama SI July au June...
Kuna Dem nlimaliza nae chuo, babake alikua lecture wa chuo cha Kodi kapata, na alikua kwaida sana class.. ukimuuliza umepenyaje anasema eti alizisoma introduction tu na akatusuaAisee watakua wametishana sana mzee baba.


😄😄😄 anasemaje huyo?analeta mzaha ye aseme tu alivujishiwa kitu chenyewe maana siku hizi zinavujishwa mpk zinawekwa mtandaoni.Kuna Dem nlimaliza nae chuo, babake alikua lecture wa chuo cha Kodi kapata, na alikua kwaida sana class.. ukimuuliza umepenyaje anasema eti alizisoma introduction tu na akatusua![]()
Hii kitu yawezekana, maana nchi Ina wenyewe hiiTRA naskia wengi wamesha itwa kazini, ila wameambiwa wanaanza kama intern
Nchi ngumu hiiMwaka 2017 kazi za TRA zilizopotoka waliomba watu 59,000 na wakaitwa watu 29,000 😄😄
😄😄 Wkt intern wenyewe tangazo lilipotoka tu walifukuzwa wote huko kwny ofisi za TRA.TRA naskia wengi wamesha itwa kazini, ila wameambiwa wanaanza kama intern
Ona kama ule mtihani wa Tax mgt officer, watu walikua had na marking scheme, yaani pale hata uwe msongolist vp hutoboi pasipo na Ile marking scheme, kidogo atleast customs ilikua inaelewekaanasemaje huyo?analeta mzaha ye aseme tu alivujishiwa kitu chenyewe maana siku hizi zinavujishwa mpk zinawekwa mtandaoni.



Nyie si mpo busy na TanapaSjajua bad Niko ofisi zao hapa network inasumbua balaa.
Ona kama ule mtihani wa Tax mgt officer, watu walikua had na marking scheme, yaani pale hata uwe msongolist vp hutoboi pasipo na Ile marking scheme, kidogo atleast customs ilikua inaeleweka![]()


afu wakuda hua wakiwa na marking scheme hawajui kujivunga yaani mtu anatusua kweli mpk wengine wanaonekana mazuzu.
,mpk wengine waliofeli wanaambiwa nyie hamsomi tu pepa ilikuaje ngumu wkt Kuna mtu ka-score 97 

Hao sina imani nao.kwani hayo majina wanasort wao manually au ni system ndio inasort?
Kuna jamaa yangu kaniambia amepata connection na mtu wa pale utumishi,kaambiwa aandae 3m apate kazi.

atafurahishwa huyo.afu wakuda hua wakiwa na marking scheme hawajui kujivunga yaani mtu anatusua kweli mpk wengine wanaonekana mazuzu.
Ile pepa ya AGOA Kuna mtu alipata 97,mpk wengine waliofeli wanaambiwa nyie hamsomi tu pepa ilikuaje ngumu wkt Kuna mtu ka-score 97
![]()





daah lazma watu waonekane hawasomi maana kamuachia marks 3 tu!!Kwa kifupi atoe m 3, wampe marking scheme ya written, na maswali ya OralHao sina imani nao.kwani hayo majina wanasort wao manually au ni system ndio inasort?
Kuna jamaa yangu kaniambia amepata connection na mtu wa pale utumishi,kaambiwa aandae 3m apate kazi.
Hahah hata wao utumishi kinachofanyika pale wanajua ni ujinga Ila ndio hivyo tu Bora liende.daah lazma watu waonekane hawasomi maana kamuachia marks 3 tu!!
Wanatupeleka kisengerenyuma kweli utumishi!!
Wanadhani hatuelewi kitu kinacho endelea
Labda wanasubiria mwaka mpya wa fedha Ili waajiriMwaka 2020, walitangaza kwanza nafas za Tax peke yake mwez Feb, baadae Tena wazitangaza za customs ikavutwa hadi July, mwaka 2019 ilifanyika July, mwaka 2021 kama SI July au June...