Mkeka wa TRA lini?

Mkeka wa TRA lini?

Atapewa maneno ya kufarijiwa na mkewe.

Kwani wewe ambavyo umefanya interview huko JKT,JW, POLICE, TAKUKURU na kote huko umepigwa chini na bado uko kitaa unapambana na hali yako Ni Nani anakupa maneno laini laini ya kukufariji?
Mkuu,we endelea kuvuta bangi zako tu,hakuna aliyekuomba umfariji hapa.
 
Niwape bishara njema wale ambao wamekata tamaa kuhusiana na TRA.kuwa mzigo upo njian sometimes hatufahamu watu ambao wana engage ktk hizi coversation wanatoka idarani.ila kifupi n kwamba tuendelee kuomba nafasi zipo njian kwenda kwenye usaili soon as possible 🙏🙏🙏Muwe na asubuhi njema
 
Stay tunned saa yoyote kuanzia leo mkeka unatoka.
Nina Uhakika hautoki. Nina Uhakika kupandisha ujira ni sababu kuchelewa/kuwekwa pending kwa ajira Mpya(Kwa baadhi ya Taasisi/Mashirika).. Nina Uhakika wanasubiri mpuliza kipenga alieko Serikalini atoe go ahead ndo waachie mkeka. Kipenga hakipulizwi leo.

Iko hivi kuelewekea May Mosi Kuna********
 
Bila shaka haya ni mawazo yako binafsi, maana kwa logic ya kawaida tuu ajira hutokana na budget au maazimio ya sherehe? (na hata maazimio ya sherehe huenda kwa mlingano wa ki budget), nafikiri kutoka kwa shortlist au kutokutoka ni kutokana na arrangement za muajiri na wenye mamlaka ya kuendesha zoezi la usahili.

Muhimu ni kuwa na subira ili muweze kumvuta kheri.

Wasalaam.
 
Nadhna Ni ukumbi umekuwa tatizo ikumbukwe Ni watu wengi wanaudhuria hyo interview nadhani chuo zikifungwa mwez huu utaona tangazo pendwa
 
Mipango yao ilikuwa bado hawajaisettle ila kwa taarifa za ndani kabisa ni kwamba msubiri majina yapo na yameshaandaliwa isipokuwa ni go ahead tu na IT kubofya kuya upload. Pia tufaham kama ndg alivyo nena hapo juu watu wafunge chuo ndo mamb huenda yakawa sawa ila vuteni subra
 
Vyuo vinafungwa week mbili zijazo..kwa nini wasiyatoe sasa ili watu wajue waanze kuandaa hata nauli?
 
Bila shaka haya ni mawazo yako binafsi, maana kwa logic ya kawaida tuu ajira hutokana na budget au maazimio ya sherehe? (na hata maazimio ya sherehe huenda kwa mlingano wa ki budget), nafikiri kutoka kwa shortlist au kutokutoka ni kutokana na arrangement za muajiri na wenye mamlaka ya kuendesha zoezi la usahili.

Muhimu ni kuwa na subira ili muweze kumvuta kheri.

Wasalaam.

Bila shaka haya ni mawazo yako binafsi, maana kwa logic ya kawaida tuu ajira hutokana na budget au maazimio ya sherehe? (na hata maazimio ya sherehe huenda kwa mlingano wa ki budget), nafikiri kutoka kwa shortlist au kutokutoka ni kutokana na arrangement za muajiri na wenye mamlaka ya kuendesha zoezi la usahili.

Muhimu ni kuwa na subira ili muweze kumvuta kheri.

Wasalaam.
Maazimio ya Sherehe 🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom