Mkeka wa TRA lini?

Mambo job seekers wenzangu?
Kuna mwenye fununu ya hawa utumishi watatoa lini ule mkeka wa kazi za tra ambazo deadline ilikua 4/11/2021?
Tunataka tukajaribu bahati zetu.
Job seeker walioomba ni wengi mnoo nadhani kwa mtazamo wangu itachukua time Mpk Jan 2022. All in all unapaswa kujipanga hata ili hata wakitangaza kesho unakuwa nondo
All the best wote watakaochaguliwa kwa ajili ya interview
 
Nimekupata mheshimiwa
 
Nitashangaa kuona Mkeka wa TRA unatoka kabla ya ule wa TANESCO ambao deadline ilikuwa 28 November.
Nitashangaa Sana. Na nitaamini kweli Kuna jambo lisilo la kawaida.
 
Tra deadline ilikua 4th November.
 
Nitashangaa kuona Mkeka wa TRA unatoka kabla ya ule wa TANESCO ambao deadline ilikuwa 28 November.
Nitashangaa Sana. Na nitaamini kweli Kuna jambo lisilo la kawaida.
Hizo za Tanesco azipo tena fanya mambo mengine interview inayofata ni TRA
 
Back
Top Bottom