Aisee (Ukumbi) No. Nakataa hii sio SababuNadhna Ni ukumbi umekuwa tatizo ikumbukwe Ni watu wengi wanaudhuria hyo interview nadhani chuo zikifungwa mwez huu utaona tangazo pendwa
Aisee (Ukumbi) No. Nakataa hii sio SababuNadhna Ni ukumbi umekuwa tatizo ikumbukwe Ni watu wengi wanaudhuria hyo interview nadhani chuo zikifungwa mwez huu utaona tangazo pendwa
Eeehn! Maana hiyo Mei Mosi lazima ije na maazimio Mkuu.Maazimio ya Sherehe![]()
Mei Mosi inakuja mama alitoa Ahadi unakumbuka vizuri??Eeehn! Maana hiyo Mei Mosi lazima ije na maazimio Mkuu.
Nadhani mpaka wamewaruhusu utumishi kutangaza mpuliza kipenga alikuwa na taarifa,nahisi nayo sio sababu piaTaasisi Moja au Shirika kuajili watu zaidi ya 100 kwa mkupuo mmoja. Lazima mpuliza kipenga atoe go ahead. Tatizo liko hapa. Basi hamna kingine. Mambo ya Ukumbi sijui maazimio ya Sherehe au Bajeti ni mawazo yenu tu..
Kwaheri tukutane mkeka ukitoka
Bado bilabila pande zote bossAnyone with any new update guys? Imekuwa kitambo sana still bila bila
Tatizo hawataki ukweli wanapenda kudanganywa na kutiwa moyoHizo kazi hazipo hamuelewi Bado mnaulizia tu, angalien sehemu zingine hizo mzisahau
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app

Hii mentality ya kijinga mnaitoa wapi?Thread closed.
Hizo nafasi wamekwisha peana wenye nchi yao.sisi wakulima wa jembe la mkono tugange yajayo
That's the spiritThread closed.
Hizo nafasi wamekwisha peana wenye nchi yao.sisi wakulima wa jembe la mkono tugange yajayo

Mkuu..bongo hii ukiona manyoya....Hii mentality ya kijinga mnaitoa wapi?
I likecit kaka wach waaminio tayari wamewekwa watu waendelee kuamini hivyo ila majina yatatoka tuI will be the last one to accept this. Coz sio mara ya kwanza PSRS kupublish job advert halafu shortlisting ya written interview ikadelay kwa muda. Everything needs patience so let's keep holding.![]()
Watu wasahaulifu sana mwaka 2020 UTUMISHI walitoa kazi za TRA deadline ilikua FEBRUARY 2020 afu written intavuu ikafanyika JULY 2020 so hakuna cha ajabu hapo...I will be the last one to accept this. Coz sio mara ya kwanza PSRS kupublish job advert halafu shortlisting ya written interview ikadelay kwa muda. Everything needs patience so let's keep holding.![]()
Sio kweliWatu wasahaulifu sana mwaka 2020 UTUMISHI walitoa kazi za TRA deadline ilikua FEBRUARY 2020 afu written intavuu ikafanyika JULY 2020 so hakuna cha ajabu hapo...
Afu ka mme note wale wakongwe wa ku apply bila mafanikio mara nyingi TRA intavuu zao huwa July flan hvi so tulieni
Umeamua kumbishia tuu, ila ukweli ni kuwa zilianza kutangazwa za Tax Management officers then baadae zikatangazwa za Customs ndio usahili ukaitishwa.Sio kweli
Walitoa tangazo lao mwezi wa tano na wakaita watu kwenye interview mwezi wa 6.
View attachment 2127408
View attachment 2127411
Sasa si uweke ushahidi kama mimi nilivyoweka mkuu?Umeamua kumbishia tuu, ila ukweli ni kuwa zilianza kutangazwa za Tax Management officers then baadae zikatangazwa za Customs ndio usahili ukaitishwa.