Mkeka wa TRA lini?

Mkeka wa TRA lini?

Nasikia kuna mkanganyiko kidogo wanataka kuchukua watu wanaojitolea jeshini kama ilivyo kua kwenye usaili wa Uhamiaji kwa hivyo kama hujapita jeshi ni tatizo
Jiulize swali dogo kama mchakato unapitia utumishi hao wanjitolea jeshin waliomba?
 
mwezi huu watu wanaenda kuwa SELECTED AND NOT SELECTED. kuhusu nyomi kawaida maana wengi wanaapply mara mbili. hivyo kuonekana waombaji ni wengi kumbe watu wameomba post zaidi ya mbili.
 
Usaili haujaghairishwa upo pale pale na soon baada ya kula ndizi nyama mtazifikia lakini tukiwa tumechoka 😂😂sana majina yanakuja aminini katika hili nilinenalo kwenu 🙏🙏🙏🙏
Hakika umejua kutufariji
 
Hawa mbuzi wa utumishi wanaudhi sana,yani watu tumeapply tangu 23 October 2021 eti mpaka leo hawajaita tu watu kwenye interview. Majitu kama haya ndio Magufuli alikua anayatumbua yakawa yanalalamika kuonewa.

View attachment 2108006
Tukutane kwenye interview ya CUSTOM OFFICER II.
TAX OFFICER MANAGEMENT OFFICER II siitaki.

Mi siwezi kwenda kufunga maduka ya watu, sina roho mbaya hiyo.

Ila naweza kufatilia magari ya ving'amuzi (Transit).

#YNWA
 
Tukutane kwenye interview ya CUSTOM OFFICER II.
TAX OFFICER MANAGEMENT OFFICER II siitaki.

Mi siwezi kwenda kufunga maduka ya watu, sina roho mbaya hiyo.

Ila naweza kufatilia magari ya ving'amuzi (Transit).

#YNWA
Tax management ila naona ni rahisi sana ht ktk mitihani yake
 
Dah ila mkuu Bongo nyoso sana. sema hiyo pdf inasukwa sana huenda ikawa inakuja kimkakati sana wanaeza weka kigezo ambacho kitapunguza watu wengi sana.
 
Back
Top Bottom