Mke wangu, Nimekuchoka!

Mke wangu, Nimekuchoka!

Kuna being rich and wealth ni tofauti sana
Hata uache mabilioni na makampuni kama watoto ndio uliwasomesha kayumba utajiri wako utaisha ukifa
Hv unahisi kwann babaake mo dewji alimpeleka Mo kusoma USA miaka hiyo ya 1990s au watoto wa manji?
Haya angalia na matajiri wetu rangi nyeusi mtu kutoka kumiliki semi 600 leo mtu kawa omba omba tu
Jamii ya kina mo ina mfumo tofauti wa kimaisha na kina sisi.

Kayumba sijui ilikufanya nini ndugu yangu????

Matajiri wetu ni mfumo wa kimaisha ndio unakuwa kikwazo.
hapo sasa ndio tengeneza njia ikiwepo mfumo na mipango endelevu itakayoendelezwa either na watoto uwepo au usiwepo
 
Haya nipe mfano wa hiyo mifumo
Usiniambia kuhusu, hisa sijui mifuko ya pamoja wala hati fungani?
Nipo hapa nakusikiliza

Wenzentu wananunua vipande vya madini na hisa kwenye makampuni makubwa ya nje kama LME London metal exchange na NYSE New York stock exchange ili hata wakifa watoto wao watakuwa matajiri wewe unawaza kumuachia mtoto mashamba nyumba za kupangisha na viwanda nchini ambavyo siku akipatwa na kesi ya uhujumu uchumi hatoboi anawaza kwenda kwa waganga. Au akifilisiwa mchezo umeishia hapo
 
Mkuu unahisi watu wanaenda fanya kazi mashirika makubwa duniani, au kwenye balozi za nchi au n.k watokea tu from nowhere
Kusoma shule flani sio njia pekee ya kupata connection, hilo ndio lizingatie.
Na hapo unaongelea watoto kutengeneza connection wakiwa wanasoma level gani, primary, secondary au chuo?
 
Haya nipe mfano wa hiyo mifumo
Usiniambia kuhusu, hisa sijui mifuko ya pamoja wala hati fungani?
Nipo hapa nakusikiliza

Wenzentu wananunua vipande vya madini na hisa kwenye makampuni makubwa ya nje kama LME London metal exchange na NYSE New York stock exchange ili hata wakifa watoto wao watakuwa matajiri wewe unawaza kumuachia mtoto mashamba nyumba za kupangisha na viwanda nchini ambavyo siku akipatwa na kesi ya uhujumu uchumi hatoboi anawaza kwenda kwa waganga. Au akifilisiwa mchezo umeishia hapo
Tufanye hivi kila mmoja afanye analoona linafaa!
 
Kusoma shule flani sio njia pekee ya kupata connection, hilo ndio lizingatie.
Na hapo unaongelea watoto kurengeneza connection wakiwa wanasoma level gani, primary, secondary au chuo?
Umesoma Mchambawima nn maana mtu aliyesoma walau hata shule nzuri hawezi kuwaza hv
 
Wanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo.

Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia.

Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza kuwahudumia na kuwalea vizuri na ahadi hiyo nimetimiza kwani walau nimeweza kusomesha watoto shule za Ada tsh 10m+ kwa mwaka kila mmoja ili wapate exposure na connections.

Leo hii tuna watoto wa 4 kishingo upande ingawa sikutaka lakini naona mwenzangu unaenjoy unataka kuongeza wengine eti wafike 7? Saba kweli mbona unanipa changamoto sana.

Na wazazi wangu kwa kupenda watoto wanakusuport.

Hivi kweli ndugu zangu nifanyeje mm? Na sasa hv anakaribia kujifungua mtoto wa 5
Ningempata wa hivyo ningefurahi Sana, kwenye miti hakuna wajenzi Mungu ambariki huyo mkeo kwa kuwa na mapenzi ya kweli kwako wewe mume wake
 
Wanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo.

Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia.

Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza kuwahudumia na kuwalea vizuri na ahadi hiyo nimetimiza kwani walau nimeweza kusomesha watoto shule za Ada tsh 10m+ kwa mwaka kila mmoja ili wapate exposure na connections.

Leo hii tuna watoto wa 4 kishingo upande ingawa sikutaka lakini naona mwenzangu unaenjoy unataka kuongeza wengine eti wafike 7? Saba kweli mbona unanipa changamoto sana.

Na wazazi wangu kwa kupenda watoto wanakusuport.

Hivi kweli ndugu zangu nifanyeje mm? Na sasa hv anakaribia kujifungua mtoto wa 5
Umemchoka na bado unamzalisha?
 
Wewe kwako lipi linafaa mm nakusikiliza
Hii mada haihusu kutangaza watoto!!! pia haihusu kutangaza kipi kinafaa kwa watoto wangu au kipi hakifai.

Naamni kila mmoja ana mfumo wake wa maisha na njia yangu mimi na wanangu ni tofauti na wewe tuishi humo
 
Mimi nilikwambia toka mwanzo,wewe hauna akili.... angalia ulichokiandika.

Sijui kwanini umetoroka FB
 
Kafunge wewe uzazi siyo umpe shida mwenzako akaweke kitanzi, na dawa za kumeza
 
Hii mada haihusu kutangaza watoto!!! pia haihusu kutangaza kipi kinafaa kwa watoto wangu au kipi hakifai.

Naamni kila mmoja ana mfumo wake wa maisha na njia yangu mimi na wanangu ni tofauti na wewe tuishi humo
Nimeelewa wala huhitaji kutangaza nacho hitaji ushauri basic tu
Mfano we na mumeo mmekubaliana labda watoto mwisho wa 2 halafu wewe ukaongeza wakawa wa 4 je ni sawa? Kwasababu mwenzio alikushirikisha anataka familia yenu iwe namna gani kielimu, kimalezo na kimajukumu. Haya hilo limetokea unafanyaje ili kujenga mifumo bora zaidi maana famili ishaongezeka sasa hilo ndio swali langu
Naomba majibu
 
Back
Top Bottom