- Thread starter
- #61
Ni wapumbavu na wenye elimu ya kuunga Unga tu hushambulia watu badala ya kujibu hojaMimi nilikwambia toka mwanzo,wewe hauna akili.... angalia ulichokiandika.
Sijui kwanini umetoroka FB

acha kutromba ila umetupiga mwenye uwezo wa 10 plus hawezi kulalamaWanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo.
Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia.
Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza kuwahudumia na kuwalea vizuri na ahadi hiyo nimetimiza kwani walau nimeweza kusomesha watoto shule za Ada tsh 10m+ kwa mwaka kila mmoja ili wapate exposure na connections.
Leo hii tuna watoto wa 4 kishingo upande ingawa sikutaka lakini naona mwenzangu unaenjoy unataka kuongeza wengine eti wafike 7? Saba kweli mbona unanipa changamoto sana.
Na wazazi wangu kwa kupenda watoto wanakusuport.
Hivi kweli ndugu zangu nifanyeje mm? Na sasa hv anakaribia kujifungua mtoto wa 5
Blaeburn ya Arusha mkuu? Nilikua naenda kuchezwa soka pale napajua wale madogo nyanya sana wanasuja dreads Yani rasi na sijawahi waona na uniform za kushindia unawakuta na home clothes masaa yoteSasa je unadhani mtoto akisoma kidumu na mfagio atauwa sawa na aliyesoma Braebun.
Lazima mtoto wa kidumu na mfagio awe na insecurities
Baraka na unaona jamaa ana struggle kuwahudumia hao watoto?Watoto ni baraka!
Anakubaka aua anaisimamishia vijiti?Nampenda ila sitaki watoto zaidi hawa waliopo wanatosha
Ni sawa bwana wee!!! tena ikibidi mama akija kufikisha miaka 38 au 40 anaongeza ka mwisho.Nimeelewa wala huhitaji kutangaza nacho hitaji ushauri basic tu
Mfano we na mumeo mmekubaliana labda watoto mwisho wa 2 halafu wewe ukaongeza wakawa wa 4 je ni sawa? Kwasababu mwenzio alikushirikisha anataka familia yenu iwe namna gani kielimu, kimalezo na kimajukumu. Haya hilo limetokea unafanyaje ili kujenga mifumo bora zaidi maana famili ishaongezeka sasa hilo ndio swali langu
Naomba majibu
We nipe nondoNi sawa bwana wee!!! tena ikibidi mama akija kufikisha miaka 38 au 40 anaongeza ka mwisho.
Familia imeongezeka si ulee hao watoto.
wapeleke shule ambazo unazimudu
Kuhusu mifumo wewe ndio unajua unafanya nini na ufanye nini kutengeneza mfumo wako.
ukitaka ushauri zaidi jielezee nikupe nondo
Sasa mie kusoma au kutokusoma inaingiaje hapo? Ili kukurahisishia kazi, sijasoma kabisa.Umesoma Mchambawima nn maana mtu aliyesoma walau hata shule nzuri hawezi kuwaza hv
Watu tumehudhuria shule hata study tour hawazijui, ukivaa uniform ni anasa, hakuna kuvaa viatu ukiwa na kandambili ukirudi nyumbani unazisafisha unazihifadhi kusubiria mtoko mwingine na tumepata connection.Acha kuwa na mawazo ya kizamani unadhani mtoto anayesoma IST, ISI,ISM au fedha school ambaye study tour anaenda Europe atafanana na yule ambaye study tour anaenda mikumi, isimila au bagamoyo
Kwa kuzingatia hilo hupaswi kulia lia humu, lea DNA zako kimya kimyaSasa kwa mke unataka nivae kondom
Hongera tumejua kuwa unalipa ada 10M kwa kila mwanao hongera.Wanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo.
Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia.
Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza kuwahudumia na kuwalea vizuri na ahadi hiyo nimetimiza kwani walau nimeweza kusomesha watoto shule za Ada tsh 10m+ kwa mwaka kila mmoja ili wapate exposure na connections.
Leo hii tuna watoto wa 4 kishingo upande ingawa sikutaka lakini naona mwenzangu unaenjoy unataka kuongeza wengine eti wafike 7? Saba kweli mbona unanipa changamoto sana.
Na wazazi wangu kwa kupenda watoto wanakusuport.
Hivi kweli ndugu zangu nifanyeje mm? Na sasa hv anakaribia kujifungua mtoto wa 5
Utoto raha sanaWanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo.
Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia.
Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza kuwahudumia na kuwalea vizuri na ahadi hiyo nimetimiza kwani walau nimeweza kusomesha watoto shule za Ada tsh 10m+ kwa mwaka kila mmoja ili wapate exposure na connections.
Leo hii tuna watoto wa 4 kishingo upande ingawa sikutaka lakini naona mwenzangu unaenjoy unataka kuongeza wengine eti wafike 7? Saba kweli mbona unanipa changamoto sana.
Na wazazi wangu kwa kupenda watoto wanakusuport.
Hivi kweli ndugu zangu nifanyeje mm? Na sasa hv anakaribia kujifungua mtoto wa 5
Tundu Lissu mnamuonea Huruma sanaWanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo.
Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia.
Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza kuwahudumia na kuwalea vizuri na ahadi hiyo nimetimiza kwani walau nimeweza kusomesha watoto shule za Ada tsh 10m+ kwa mwaka kila mmoja ili wapate exposure na connections.
Leo hii tuna watoto wa 4 kishingo upande ingawa sikutaka lakini naona mwenzangu unaenjoy unataka kuongeza wengine eti wafike 7? Saba kweli mbona unanipa changamoto sana.
Na wazazi wangu kwa kupenda watoto wanakusuport.
Hivi kweli ndugu zangu nifanyeje mm? Na sasa hv anakaribia kujifungua mtoto wa 5
Sasa kwanini unamkwichikwichi?Nampenda ila sitaki watoto zaidi hawa waliopo wanatosha
Zaeni bwana,, mapori yote haya atayajaza nani?Wanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo.
Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia.
Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza kuwahudumia na kuwalea vizuri na ahadi hiyo nimetimiza kwani walau nimeweza kusomesha watoto shule za Ada tsh 10m+ kwa mwaka kila mmoja ili wapate exposure na connections.
Leo hii tuna watoto wa 4 kishingo upande ingawa sikutaka lakini naona mwenzangu unaenjoy unataka kuongeza wengine eti wafike 7? Saba kweli mbona unanipa changamoto sana.
Na wazazi wangu kwa kupenda watoto wanakusuport.
Hivi kweli ndugu zangu nifanyeje mm? Na sasa hv anakaribia kujifungua mtoto wa 5
Mkuu,Wanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo.
Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia.
Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza kuwahudumia na kuwalea vizuri na ahadi hiyo nimetimiza kwani walau nimeweza kusomesha watoto shule za Ada tsh 10m+ kwa mwaka kila mmoja ili wapate exposure na connections.
Leo hii tuna watoto wa 4 kishingo upande ingawa sikutaka lakini naona mwenzangu unaenjoy unataka kuongeza wengine eti wafike 7? Saba kweli mbona unanipa changamoto sana.
Na wazazi wangu kwa kupenda watoto wanakusuport.
Hivi kweli ndugu zangu nifanyeje mm? Na sasa hv anakaribia kujifungua mtoto wa 5
Kichwa kimepotoka. Hujatoa direction ninkwa namna gani msizidishe watoto wa 5, halafu una mlaumu mtu ambaye alitakiwa kupata mwongozo na wewe hukumpatia.Wanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo.