- Thread starter
- #21
Nafanyaje sasa maana mwenyewe anatakiwa kuzuia hata kuzuiaLea tu mkuu, Ila tafuta namna kuzuia wasiongezeke
Au kuna namna naweza kukata mirija ya uzalishaji bila kuharibu performance yangu
Nafanyaje sasa maana mwenyewe anatakiwa kuzuia hata kuzuiaLea tu mkuu, Ila tafuta namna kuzuia wasiongezeke
SHIDA NI KUJA KUJITANGAZA HUMU.au ndio JAMIIFORUM YENYEWE INAVYOTAKIWA.Wazee wanataka watoto wengi
Ndio Wanampa kichwa wife
Mi nataka watoto wachache ili nifocus kwenye malezi bora
Sie wa kayumba tusingekua na connection.
Sasa hapa anamlaumu mke wake kwa kipi?
Acha kuwa na mawazo ya kizamani unadhani mtoto anayesoma IST, ISI,ISM au fedha school ambaye study tour anaenda Europe atafanana na yule ambaye study tour anaenda mikumi, isimila au bagamoyoUnajua mimi huwa nashangaa humu eti sijui mtoto kusoma wapi ndio apate connection.
Halafu kuna mijamaa haina shule kabisa lakini connection walizonazo ni balaa.
Aina ya shule inaweza kuwa na mchango kwenye connection lakini sio mkubwa sana, na sio njia pekee.Unajua mimi huwa nashangaa humu eti sijui mtoto kusoma wapi ndio apate connection.
Halafu kuna mijamaa haina shule kabisa lakini connection walizonazo ni balaa.
Hili ni kweli, Shule tunazo soma zina influence sana katika circle yetu, Perception kuhusu maisha.
Hapo umemaliza ndugu yanguAina ya shule inaweza kuwa na mchango kwenye connection lakini sio mkubwa sana, na sio njia pekee.
JF hii hii watu wanapata connection, ni suala la bahati, kuwa mahali sahihi na kwa wakati sahihi.
Una miaka mingapi?Wanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo.
Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia.
Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza kuwahudumia na kuwalea vizuri na ahadi hiyo nimetimiza kwani walau nimeweza kusomesha watoto shule za Ada tsh 10m+ kwa mwaka kila mmoja ili wapate exposure na connections.
Leo hii tuna watoto wa 4 kishingo upande ingawa sikutaka lakini naona mwenzangu unaenjoy unataka kuongeza wengine eti wafike 7? Saba kweli mbona unanipa changamoto sana.
Na wazazi wangu kwa kupenda watoto wanakusuport.
Hivi kweli ndugu zangu nifanyeje mm? Na sasa hv anakaribia kujifungua mtoto wa 5
Acha kuwa na mawazo ya kizamani unadhani mtoto anayesoma IST, ISI,ISM au fedha school ambaye study tour anaenda Europe atafanana na yule ambaye study tour anaenda mikumi, isimila au bagamoyo
[/QUOTE
Wana tofauti ndio ya exposure tu!.
zaidi ya hapo hawatatofautiana kwenye connection
Nimecheka sana😃😃😃😆😆.Ukojolee ndani mwenyewe , halafu kesi uzilete JF ! Nyie ndo mnajaza server ! JF siku hizi tukitumia inakwama kwama (lag)
Matako yako
Sema vitu vingine hatuwezi kuweka public!Sasa je unadhani mtoto akisoma kidumu na mfagio atauwa sawa na aliyesoma Braebun.
Lazima mtoto wa kidumu na mfagio awe na insecurities
Uhusiano haupo kabisa!Hakuna uhusiano wa kusomesha mtoto shule ya Gharama kubwa 20m per yr na kupata connection
Cc@Leo dada
Sasa kwa mke unataka nivae kondomKukutetea ni Ngumu kama Uli 🫗gia ndani wewe mwenyewe
Sasa kwa mke unataka nivae kondomKukutetea ni Ngumu kama Uli 🫗gia ndani wewe mwenyewe
Mkuu unahisi watu wanaenda fanya kazi mashirika makubwa duniani, au kwenye balozi za nchi au n.k watokea tu from nowhereAina ya shule inaweza kuwa na mchango kwenye connection lakini sio mkubwa sana, na sio njia pekee.
JF hii hii watu wanapata connection, ni suala la bahati, kuwa mahali sahihi na kwa wakati sahihi.
Kuna being rich and wealth ni tofauti sanaUhusiano haupo kabisa!
kama una hela somesha huko tengezza njia ya wanao.
sio usomeshe kutegemea connection
Kwani akati unakojoa hukujua kama unatengeneza mtoto? Wacha kulia liaSasa nikakojoe wapi😄