ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,074
- 47,032
Usije tu ukamuua
Wewe piga hadi wafike 10, kila mtoto anakuja na ridhiki yake.Wanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo.
Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia.
Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza kuwahudumia na kuwalea vizuri na ahadi hiyo nimetimiza kwani walau nimeweza kusomesha watoto shule za Ada tsh 10m+ kwa mwaka kila mmoja ili wapate exposure na connections.
Leo hii tuna watoto wa 4 kishingo upande ingawa sikutaka lakini naona mwenzangu unaenjoy unataka kuongeza wengine eti wafike 7? Saba kweli mbona unanipa changamoto sana.
Na wazazi wangu kwa kupenda watoto wanakusuport.
Hivi kweli ndugu zangu nifanyeje mm? Na sasa hv anakaribia kujifungua mtoto wa 5
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸🏾Praise the Lord...Wanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo.
Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia.
Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza kuwahudumia na kuwalea vizuri na ahadi hiyo nimetimiza kwani walau nimeweza kusomesha watoto shule za Ada tsh 10m+ kwa mwaka kila mmoja ili wapate exposure na connections.
Leo hii tuna watoto wa 4 kishingo upande ingawa sikutaka lakini naona mwenzangu unaenjoy unataka kuongeza wengine eti wafike 7? Saba kweli mbona unanipa changamoto sana.
Na wazazi wangu kwa kupenda watoto wanakusuport.
Hivi kweli ndugu zangu nifanyeje mm? Na sasa hv anakaribia kujifungua mtoto wa 5
Hili ni kweli, Shule tunazo soma zina influence sana katika circle yetu, Perception kuhusu maisha.
Hudumia MzeeWanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo.
Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia.
Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza kuwahudumia na kuwalea vizuri na ahadi hiyo nimetimiza kwani walau nimeweza kusomesha watoto shule za Ada tsh 10m+ kwa mwaka kila mmoja ili wapate exposure na connections.
Leo hii tuna watoto wa 4 kishingo upande ingawa sikutaka lakini naona mwenzangu unaenjoy unataka kuongeza wengine eti wafike 7? Saba kweli mbona unanipa changamoto sana.
Na wazazi wangu kwa kupenda watoto wanakusuport.
Hivi kweli ndugu zangu nifanyeje mm? Na sasa hv anakaribia kujifungua mtoto wa 5
Kila sheria ya maisha ina exception hata kifo ni lazima lakini kuna watu waliondoka duniani bila ya kufa.Unajua mimi huwa nashangaa humu eti sijui mtoto kusoma wapi ndio apate connection.
Halafu kuna mijamaa haina shule kabisa lakini connection walizonazo ni balaa.
Uko academy Barcelona na mwingine yuko academy Namtumbo zote ni za mpira odd zitamuangukia nani ikiwa wote wana vipaji sawa, au umezaliwa Tanzania mwenzio Marekani nani likely kufanikiwa kiuchumi? Usibeze nurture ni 70% of who you areUhusiano haupo kabisa!
kama una hela somesha huko tengezza njia ya wanao.
sio usomeshe kutegemea connection