Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,903
Hhaa kumbe wote tumechukua pisi za Kinyaki na mimi nina sidechick toto ya kutoka MbalaliAhahahah...mkuu hapa kwa Amehlo usije ukaniharibia.
Mimi nampenda hivyo hivyo

Hii ni kwa wote in general haibagui hii.Kabisa na si kabila...karibu wote
🤣🤣🤣Ndo inavyokuwa ivo? Mie sielewi🤣🤣🙌🤭Hii ni kwa wote in general haibagui hii.
We si unaona mtu muuza nyapu tu hkiwa na dau dogo anategemea unakaribia kufika kileleni anachomoa..anasema dau lako limeishia hapa.Kama vip ongeza
Ahahahah..Hhaa kumbe wote tumechukua pisi za Kinyaki na mimi nina sidechick toto ya kutoka Mbalali
TeacherMkuu 96% kote kupo ivo....hawasemi tu.Pambana nae tu ukishindwa mzabe vibao iwe tiketi ya kuondokea.Maana wanawake wengi wamecheka na ndoa zao wanasubiri tiketi ya vibao tu wasepe.[emoji855]
Hahaa bado ndo nataka nianze kumfundisha nataka kwanza nianze kupitisha kaulimi af niifyonze akisisimka kashaliwa huyoNdo shida tuliyonayo...ubabe! Mkund kakupea?
Akiliwa huko Mdomo utamshuka shuuHahaa bado ndo nataka nianze kumfundisha nataka kwanza nianze kupitisha kaulimi af niifyonze akisisimka kashaliwa huyo
Upwiru unakaba koo 🤣🤣🤣Natamani kuwa single ila upwiru unanikaba koo 🧣
Hahaa pole kwa changamoto kwa hiyo unanishaurije mkuu?Ahahahah..
Kaka mimi siongei kwa kubatisha.
Mimi ni mnyaki.
Yf ni mnyaki vile vile.
Yan mpaka huu uzi nilipouona nikashtuka nikidhani labda ni mimi ndio niliandika maana karibu kila kitu kinanihusu kasoro umri wa ndoa(i have 10 yrs) na idadi ya watoto (mine -4).
Hizo ni tabia zao
Upwiru unakaba koo 🤣🤣🤣Natamani kuwa single ila upwiru unanikaba koo 🧣
Upwiru unakaba koo 🤣🤣🤣Natamani kuwa single ila upwiru unanikaba koo 🧣
Wakuu nawasalimu kwa jina la muungano.
Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.
Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.
Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Una akili sana wewe tukishatifua tope atapunguza kamdomo kake. Juzi ananiambia vingine vya kitandani niwe namfundisha 🤭 eti nipewe nini tena To yeye mnyaki kashanipa go aheadAkiliwa huko Mdomo utamshuka shuu
Naloli Kwa bed wanyakyusa tunapenda sana.....Yaan ukuni tunaupenda mnooUna akili sana wewe tukishatifua tope atapunguza kamdomo kake. Juzi ananiambia vingine vya kitandani niwe namfundisha 🤭 eti nipewe nini tena To yeye mnyaki kashanipa go ahead
Uzuri kitandani huwa hanaga matingo
sawa tu hiyo mbona kawida dawa ni we kuongeza ngazi mbili kupanda zaidi, na usionyeshe kama una shida naye sana, wakati huo fanya wajibu wako kwa familia kama babaWakuu nawasalimu kwa jina la muungano.
Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.
Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.
Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Mke mmoja hudumaza akiliWakuu nawasalimu kwa jina la muungano.

wangu ni mmoja kati ya hao natumia akili kubwa kuishi nayeKama sio mnyakyusa huyo ni mchaga.
Wanawake wa kinyakyusa ni watata sana
Ahaha wala hata usinipe pole chief maana hii changamoto iko ndani ya uwezo wangu nam mudu vyedi kabisaa maana si nawamanya?? Unachokijua sikuzote hakitakiw kukupa tabu.Hahaa pole kwa changamoto kwa hiyo unanishaurije mkuu?