Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

Inaezekana unamchekea mpe onyo akizengua mpige kwanza au usiache hela ya matumiz ili ajijue .m hata mme wangu ale sinia zma sijal ili mrad ashibe na nkipiga mmewangu asile vzur sijsikii
 
Kwa kweli ni makosa makubwa sana anayafanya.
Mwambie ukweli kwa msisitizo ..sio unamwambia huku unamchekea.
Ni makosa makubwa sana mwanamke kupika chakula ambacho Mume wako hatashiba na yeye ndiyo mtafutaji.
Nimemuonya sana anakiri kwamba harudii tena lakini habadiliki
 
Back
Top Bottom