cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,709
Asilimia kubwa ya wanawake kwa msosi ni wachoyo wa kiwango cha PhD huwa najiuliza huwa wanafikiria nini. Tena mwingine akipika nyama lazima afiche kah so shame kwa kweliNi kweli kabisaaa me nimeishi na watu wa hivyo akipika nyama ye anakula nyingi nyinyi mnapata kipisi kimoja waroho balaa