Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

Inaezekana unamchekea mpe onyo akizengua mpige kwanza au usiache hela ya matumiz ili ajijue .m hata mme wangu ale sinia zma sijal ili mrad ashibe na nkipiga mmewangu asile vzur sijsikii
Onyo nishampa zaidi ya mara moja bado haelewi labda ndio asili yake ya uchoyo
 
Hapana wala usimwache ispokua sasa usimwachie pesa Bali nunua mwenye mahitaji yote
Nimeoa nina miezi 5 sasa ila tatizo kubwa ni kwamba mke wangu anapika chakula kidogo mno yani sishibi kabisa na namuachia hela ya matumizi ya kutosha ila sielewi nini kinamsumbua

Mpaka inafika kipindi kabla sijarudi nyumbani nipitie hotelini nile kwanza halafu ndio niende kwangu nimeongea nae sana lakini anaacha siku kadhaa halafu anarudia tena tabia yake ushauri wenu wakuu nimuache au nimfanye nini?
 
WEWE HUKUWA NA HAJA YA KUJA HAPA...HUYO ILIKUWA UNAKULA WAKATI UNAKULA MWAMBIE ARUDI JIKONI...UKIMALIZA HUO MSOSI UNATAKA MWINGINE.. MPIKISHE MARA MBILI MBILI...ATAACHA TU ATAKADIRIA VIZURI TU...
 
Mkuu...huwezi jua upande wa pili, ukute jamaa ni kula kula ss hapo kuna kujenga, ada?
Mimi Sipo hivyo Milo yangu ni mitatu kwa siku kama ilivyo kawaida yetu wa Tanzania
 
Utakuwa ni bonge anataka upungue mkuu vumilia tu ukifika kwenye kilo anazotaka utakula ushibe
 
Mkuu, kwanza naona kama unamdhalilisha mkeo hapa. Na pia inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mwanaume laini tena mwenye kupenda kulalamika.
Kwanza hauoni haya/aibu kuja hapa jf kumsema mkeo vibaya, ilhali bado ni mkeo...[emoji53] [emoji53]
Kisha ukimaliza kumuandika huyo mkeo hapa, alafu unaenda kula tena chakula chake na kujifunika nae shuka moja...[emoji45]
Ebu badilika mkuu, yaani jambo dogo kama hili unashindwa kulitolea maamuzi kama baba.... je siku ukija kumfumania hata kwenye sms sindio utajinyonga kabisa...[emoji46] [emoji46]
Wanaume wa Dar mna matatizo zana aiseeee..... na skuizi mnalalamika kuliko hata dada zenu...[emoji16] [emoji16]
Mkuu hizi ni Changamoto tu za maisha nimeona niwashirikishe wenzangu japo kwa ushauri na mawazo
 
Nimemuonya sana anakiri kwamba harudii tena lakini habadiliki
Wengine wanalalamika waume zao hawali nyumbani, kumbe kuna wanao lalamika wake zao wanawapunja menu! du pole sana mwambie utamuolea mke mdogo amfundishe kupika chakula cha kula mwanaume
 
Mke aninyime vyote ila chakula cha usiku na cha mchana nishibe. Kinyume na hapo ni vita .
 
Mwanamke mchoyo wa chakula hafai aisee hata kukiwa na wageni atawanyima msosi mwishoni nyumba ikose wageni. Mtu mchoyo wa msosi hafai hata kwa kulumangia ugali walah. Mwambie aache hyo tabia
 
Back
Top Bottom