Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

Pole sana namjua jamaa alibeba vitu vyake kwa ujinga huu.
Mwanamke anagawa kilo ya nyama siku 5
 
Mkuu...huwezi jua upande wa pili, ukute jamaa ni kula kula ss hapo kuna kujenga, ada?
Chakula muhimu sasa mume akila si ndo furaha huyo mchoyo hafu wanaume na sisi ulaji huwa tofauti na sisi kah. Mwanamke mwenzetu anatia aibu na kumtesa baby wake
 
Kwani wakati wa uchumba kuna kupikiana? Si kila mtu anakuwa kwao? Au ulikuwa unataka kuzungumzia kipindi cha uzinzi wao?
Babu unajua tabia ni kama ngozi ya mwili,haijifichi...uchoyo unaweza kumuona nao mtu kwenye vitu vingine pia sio tu chakula pekee..
 
Naona anajisahau huyu dada. Mume wake bado anabana hata chakula? Si tabia nzuri kwakweli
Kwa kweli ni makosa makubwa sana anayafanya.
Mwambie ukweli kwa msisitizo ..sio unamwambia huku unamchekea.
Ni makosa makubwa sana mwanamke kupika chakula ambacho Mume wako hatashiba na yeye ndiyo mtafutaji.
 
Hii story inanikumbusha mfanyakazi mwenzangu mmoja, alioa mke akawa anapika chakula kidogo jamaa hashibi. Siku moja jamaa akamwambia kuwa, kesho tuna wageni watatu hivyo pika chakula cha kutosha watakula mchana hapa nyumbani. Bi dada akapika chakula kama alivyoambiwa na mmewe.

Baada ya chakula kuiva akamuuliza mme mbona wageni hawafiki na chakula tayari. Jamaa akamwambia tuendelee kula wako njiani.

Jamaa akaanza kupiga msosi hotpot la kwanza likaisha, akamwambia mkewe lete na kile kingine wakija utapika kingine.

Baada ya kumaliza kula. Akamwambia hiki ndiyo kipimo cha chakula kila siku hakuna mgeni yeyote.

Hivyo nawe unaweza tumia njia hiyo.
 
Mkuu...huwezi jua upande wa pili, ukute jamaa ni kula kula ss hapo kuna kujenga, ada?
Lakini Madame hauoni mpaka hapo kama tatizo ni hilo hajasolve chochote?
Maana mwanaume anaanza kula hotelin ndiyo anarudi nyumbani. Hivyo hela bado inatumika vibaya.
Lakini trust me kuna watu wamezoea shida sijui ndiyo uchoyo ..hata kama ana gunia la mchele ndani bado atapika robo kilo na anafamilia.
 
Sasa hapo kuna ndoa kweli si Itakuwa dharau Uache matumizi ukirudi tena upike
Dharau ndiyo.. Sasa utafanyaje, akiona unapika atajiuliza maswali mengi, utamuona akibadilika, akishndwa tena hapo muwekee kikao tena.. Akishndwa tena baba timua vumbi ndani pawe pasafi.
 
ukiona umepika chakula kidogo nikifika usipakulie ova!
 
Uroho unakusumbua, ngoja leo urudi ukutane na maji pekee ndo utakubali, unakula mgahawani, tena ukifika home unakula!
 
Hii si uchumi ni tabia mbaya hivi anashindwaje kumpikia mumewe chakula chakutosha ashibe, au anataka mumewe ashindwe kazi.
Hilo lijanamke kama sio limwela sijui .....majitu machoyo Yale khaaaaaaa
 
Kwa mtindo huo. Mtafutie nyumba ndogo. Mbona atajirekebisha tu.
Mapochopocho Kama yote vile
 
Nimeoa nina miezi 5 sasa ila tatizo kubwa ni kwamba mke wangu anapika chakula kidogo mno yani sishibi kabisa na namuachia hela ya matumizi ya kutosha ila sielewi nini kinamsumbua

Mpaka inafika kipindi kabla sijarudi nyumbani nipitie hotelini nile kwanza halafu ndio niende kwangu nimeongea nae sana lakini anaacha siku kadhaa halafu anarudia tena tabia yake ushauri wenu wakuu nimuache au nimfanye nini?
'Competition enhances efficiency'
 
Hilo lijanamke kama sio limwela sijui .....majitu machoyo Yale khaaaaaaa
Ni mchoyo hafai hata ndugu wakija italeta ugomvi nimewahi ishi kwa mama odo alikuwa mchoyo wa msosi anakula hakupi walah na ni mtoto. Nilichojifunza kuna asilimia kubwa ya wanawake ni wachoyo wa msosi sijui wanaona msosi ni kitu gani very shame, mi bora nipike watu wale Mpaka basi
 
Nimeoa nina miezi 5 sasa ila tatizo kubwa ni kwamba mke wangu anapika chakula kidogo mno yani sishibi kabisa na namuachia hela ya matumizi ya kutosha ila sielewi nini kinamsumbua

Mpaka inafika kipindi kabla sijarudi nyumbani nipitie hotelini nile kwanza halafu ndio niende kwangu nimeongea nae sana lakini anaacha siku kadhaa halafu anarudia tena tabia yake ushauri wenu wakuu nimuache au nimfanye nini?
Mkuu pole sana! Nakushauri kaa naye ukiwa serious mweleze kuwa hushibi, mweleze kuwa unalazimika kula migahawani na yy yupo! Ukiona haachi mwambie sili tena nyumban acha tu niwe nakula migahawani tu chukua hata siku mbili usile nyumban akikuuliza mwambie nimekula huko! Kwa mwanamke anayempenda mume wake atabadilika asipobadilika washirikishe ndg was pande zote mbili.
 
Lakini Madame hauoni mpaka hapo kama tatizo ni hilo hajasolve chochote?
Maana mwanaume anaanza kula hotelin ndiyo anarudi nyumbani. Hivyo hela bado inatumika vibaya.
Lakini trust me kuna watu wamezoea shida sijui ndiyo uchoyo ..hata kama ana gunia la mchele ndani bado atapika robo kilo na anafamilia.
Basi choyo hilo!...halafu ndo tabia ake!
 
Wewe mwanamme gan ambae hushibi unaenjoy tu ..mwambie mke wangu aijashiba pika tena...kila akipika chakula kidogo mwambie pika tena.mbona kazi ndogo tu hiyo
 
Ni mchoyo hafai hata ndugu wakija italeta ugomvi nimewahi ishi kwa mama odo alikuwa mchoyo wa msosi anakula hakupi walah na ni mtoto. Nilichojifunza kuna asilimia kubwa ya wanawake ni wachoyo wa msosi sijui wanaona msosi ni kitu gani very shame, mi bora nipike watu wale Mpaka basi
Ni kweli kabisaaa me nimeishi na watu wa hivyo akipika nyama ye anakula nyingi nyinyi mnapata kipisi kimoja waroho balaa
 
Back
Top Bottom