Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

Nakushauri kama ndo tabia yake badi kila ukirud ukikuta msos mdog upakue subir
Muite bek tatu mwambie aandae kingine mkiwa wote mmekaa na kupeana michapo ya siku akimaliza bek tatu changanya na chake kula...
Hapo hapo akiwa bek tatu muelekeze mbele yake mwambie dada huu ndo msos naotaka kuukuta mezani...
Mwachie jukumu bek tatu full stop
Uone kama hatojirekebisha
Mambo ya ku ignore msikwaruzane na mwenzio mbona yanawezekana
Haha Asante kwa ushauri
 
Usiwe unamwachia tena hela ya matumizi, fanya manunuzi mwenyewe au muende pamoja kama ni bajeti ya wiki au mwezi, huyo ni mjanja atakua anabana matumizi...
Asante kwa ushauri
 
Tatizo sasa hivi wanawake mambo mengi yaan fedha ya chakula mwenzako anaweka vikoba mwisho mmoja aliondoka na mtaji wa milioni moja mpaka leo na amehama Arusha.Yaan hatutafika kwa style hii sijui mrejesho wanawake acheni pia michezo ya ajabu
Sawa mkuu
 
Hahahaaaa. Nimecheka Dada.

Tuseme tu huyo mwanaume hajitambui Dada, sababu suala kama hilo linatakiwa alimalize na mkewe huko kwa kumuuliza sababu ya kufanya hivyo na kama sababu haina uzito basi anamwambia tu rekebisha hiyo na uwe unapika chakula cha kutosha.

Sasa kuanza kulalamika huku ili mke wake aonekane ni kiumbe cha ajabu tunashindwa kumshangaa.

Akae chini azungumze na mkewe na si kupoteza pesa kila kukicha kwa chakula cha kununua wakati nyumbani kipo.
Mkuu pitia vizuri uzi nilishaeleza hilo habadiliki nikimwambia anarudia
 
Siku moja ukiwa umepumzika home jifanye mahaba yamekolea unamsaidia kupika,halafu pika chakula cha kutosha na Ww ndo uwe mpangaji anaweza kukuelewa kama siyo tabia yake,fanya kiutani ndani ya mahaba
Asante kwa ushauri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana dunia ina mambo kama unajua kupika, mkimaliza kula au ukiona chakula ni kidogo songa ugali wako naye akiona mwambie hichi chakula chako sishibi ataacha huyo mke wawapi àu ndiyo wale fungu la dagaa mchele watu 10 mnagawana, badala ya kupika matembele mkala mkashiba [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante kwa ushauri
 
Kosa vyote siyo chakula, pesa uache na bado unaenda kula vibandani... Usimwambie tena kuhusu hilo jaribu siku 2/3 akipika kidogo usile ingia pika ugali huku ukiwa umerudi na nyama heavy.. Halafu umkaribishe... Huyo shenzi zake
Asante kwa ushauri
 
Mwambie hushibi na kichakula chake cha kuonja! Unashindwaje Kuwa muwazi kwa mkeo!?
Nilishaongea nae sana lakini anaacha siku kadhaa halafu anarudia tena tabia yake
 
Nilishaongea nae sana lakini anaacha siku kadhaa halafu anarudia tena tabia yake
Hii sasa ni zaid ya uchoyo. Kama wewe ndo unahudumia, kwa nini afanye hivyo? Sasa, badala ya kulumbana nae, kaa kimya. Kula hotelini/mgahawani (ni kwa mda tu, haziwezi zidi siku 3). Cha nyumbani usile. Akikuuliza mwambie anachokipika we hushibi so ni heri ule mahali ambako kinapatikana chakula cha kutosha.
Walioolewa wengi hupenda waume zao wale chakula walichokipika wao. Kinyume na hapo huumia sana. Ila hii inategemea na aina ya mwanamke. Mwingine anaweza guswa na hili na kuamua kubadilika, wakati mwanamke mwingine ndo kwanza ataserebuka moyoni na kuacha kabisa kupika.
Unamjua vema mkeo kuliko sisi, fanya maamuzi sahihi
 
Asante mkuu kwa ushauri
 
Mkuu uyo kama hafyatui mikeka uyo sijui atakuwa anacheza biko au tatu mzuka au anacheza mchezo wa upatu
 
Back
Top Bottom