marrykate
JF-Expert Member
- Mar 4, 2012
- 733
- 444
Changamoto tu mkuu
mimi pia nina msichana wangu wa kazi ana tabia za hivyo, ukinunua matunda hayaandai kuyaleta mezani, mpaka umwambie ayaandae. ikitokea kuna wageni atapika chakula kidogooo kile alichozoea kupika siku zote, nimemsema saana lakini habadiliki. nilichoamua sasa nakuwa namkumbusha kuaandaa matunda kabla hajapakua.
na ikitokea kuna wageni basi chakula ntaandaa mwenyewe. na kama imetokea tumesafiri sehemu, tukiwa huko kabla ya kupika namkumbusha kupika chakula kulingana idadi ya watu iliyopo. endelea kumkumbusha tu