Acha ulafi weweMimi nishazoea hivyo usiku nile kitu kizito ndio nilale kama ilivyo kawaida yetu wa Tanzania
HahahahahaNdo tatizo la kuoa watu waliosoma uchumi......utakula mpaka mawe pole sana
Nimeona ni vyema kushare na wenzangu japo kwa ushauri na mawazo
Kwa kweli ni makosa makubwa sana anayafanya.
Mwambie ukweli kwa msisitizo ..sio unamwambia huku unamchekea.
Ni makosa makubwa sana mwanamke kupika chakula ambacho Mume wako hatashiba na yeye ndiyo mtafutaji.
Asante kwa ushauriPole SNA ndugu , ikiwa ulisha mwambia akawa Ana acha na kurudia basi jaribu kumtafuta ndugu yake WA karibu kama Ni Mama, dada, Shangazi au somo yake wenyewe busara anaweza aka badilika kupitia hao watu anao waheshimu , usimpige wala kumnyima Pesa ya matumizi ILA hapo nahisi kama walifeli kumfundisha juu ya Ku mu handle mume au Ana roho ya kupenda Kula SNA , try it
IPIGANIE NDOA YAKO...bado mapema sana....Ndio tuna miezi 5 sasa