Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,052
- 3,272
Anabana budget ili abakie na akiba. Hii akiba lazima tu itakua inaishia saloon au kwenye vikoba. Fanya hivi, usimpe tena hela ya matumizi,we pitia sokoni (kila weekend) chukua mahitaji yote ya msosi umpelekeeNimeoa nina miezi 5 sasa ila tatizo kubwa ni kwamba mke wangu anapika chakula kidogo mno yani sishibi kabisa na namuachia hela ya matumizi ya kutosha ila sielewi nini kinamsumbua
Mpaka inafika kipindi kabla sijarudi nyumbani nipitie hotelini nile kwanza halafu ndio niende kwangu nimeongea nae sana lakini anaacha siku kadhaa halafu anarudia tena tabia yake ushauri wenu wakuu nimuache au nimfanye nini?