Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Aiiiiiiiii just say it again, kwamba anapata kila kitu kwako?abeeee!! Unamdanganya nani? Tuseme vyakula vipo mnakula nakushiba na vile tumbo halinga kioo hatutaki kujua mnakulaga nini.

Sema hapa hapa kama kweli unampa kila kitu.
1. Akisema anaomba 40000 za kusuka unampa bila masimango kuwa anapenda vya bei kali?

2: nguo unamnunulia nzuri nae anajihisi fresh?
3. Kwao wakitaka msaada unatoa bila kumrushia vijembe?

4: tuseme mama yake ana shida unatoaga bila kuvuta mdomo na kushinda bar unaangalia mpira ila asikuombe?

5: sikukuu za pasaka Christmas au eid uwa unampa pesa za kutuma kwao hata kama hajakuomba? Yaani unamwambia hii làki moja tuma kwenu wanunuwe ka nyama?

6: tuseme mdogo wake kamwamba ada unamchangia kwa moyo safi bila kinyongo?

7.tofauti na mahali ulotoaga wakati ule kuna siku unatumaga hata vijizawadi kwao?

8: je kuna wakati unampa vimatumizi pembeni hata amnunulie kijizawadi mama yako bila wewe kujua? Maana mama mkwe huyu ndo aliye mzalia mme so anastahili ampe vijizawadi ma vitenge na mazagazagq mengine.

Kama haya yote unafanya basi mzuie asiende kama hufanyi pambana na hali yako, haya ndo yalimfanya akaombe kazi.

Na kama ungekuwa na hela miaka mitano anasota kwako ungelikuwa ushamfunguliaga hata kijiduka.

N.b nipo hapa msibani kwa queen eliza nasoma comments

Rip queen.
[emoji3][emoji3][emoji3]umeomgea point , pole na msiba wa malkia wa dunia

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Achana na mkeo kupiga kazi huko wewe utaishije? Utapata mahitaji yako wapi na kwa mda gani? Je akishazoea maisha ya kujiamulia kila kitu siku utakayotaka arudi chini ya amri yako ataweza? Mwisho wa huo uhuru wa kujitafutia ni nin?
 
mi nadhani tupunguze mawazo ya kugongewa kila saa,mimi pia nilipangwa mbali kidogo japo safari ni siku moja basi mmewangu kila saa anaambiwa atakusaliti ila naona miaka inapita na sijawahi waza kuchepuka,walokuwa wakiongea sijui waliishia wapi
emu muache kwanza aende kazini mengine yatajulikana
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Mi sio muumoni wa ndoa za mbalimbali.
Tukuulize wewe upo tayari kuishi mbalimbali?
Utavumilia mfano mwaka mzima bila mke au ndio utaanza mchepuko?
Suala la malezi linamuhitaji baba na mama.
Kaeni chini muangalie faida na hasara.
Hasara ni kubwa kuliko hiyo faida.
To be honest sikushauri kutengana kwa ajili ya kazi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Rutashobya,Mutagobwa, ishebabi , Ishebairu,Kamugisha na akina Maruku na Ishengoma wamestaarabika kaka.
Hofu ondoa😁
 
mi nadhani tupunguze mawazo ya kugongewa kila saa,mimi pia nilipangwa mbali kidogo japo safari ni siku moja basi mmewangu kila saa anaambiwa atakusaliti ila naona miaka inapita na sijawahi waza kuchepuka,walokuwa wakiongea sijui waliishia wapi
emu muache kwanza aende kazini mengine yatajulikana
Kumbe wee huwa Ni wakike[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee na wenye hekima waliona mbali waliposema wanandoa wasitengane zaidi ya miezi 3; zaidi ya hapo kila mmoja ajiandae kwa maumivu
 
Kuna mabasi mazuri Dar-Bukoba full AC mwanzo mwisho kwa elfu 80., Ndege pia Zippo, sasa mnashindwa vipi kwenye hiyo 1.5M kutenga laki 5 kila mwezi mkasalimiane?
Kuna familia nyingi mke na mme wako mikoa mbalimbali na wako vizuri kuliko wanaoishi pamoja.
Wasiwasi unaoweza kuwa nao ni kama mke wako atakuwa na tamaa ya kuonja ile teknolojia ya Bukoba.
 
Hakuna mapenzi ya mbali, hapo ni kukaribisha migogoro katika ndoa.
Kuchapiwa kupo tu ila ukiwa nae dar lazima ataweka heshima ukizingatia anajulikana na ili usijue lakini akiwa mbali ikimtamkia atajiachia kabisa coz hakuna anaekufahamu hata kama watajua ana mume alikotoka. Mfano jamaa likimtembelea anapoishi hakuna kizuizi but hawezi kute.belewa na mchepuko nyumbani kwako.

But na wewe ni mzembe 6 yrs hujamtafutia cha kufanya sada kapata kazi unaanza kutafuta ushauri??
 
Mshahara anaoufuata I think ni 1.5m hivi, though ni unconfirmed. Lkn I can afford her needs and my family, ni vile tu naiona push ya ndg zake pia, si unawajua wabongo, kwamba walimsomesha so they expect ahudumie pia, mim sina neno sana na hilo ila Distance… It is too far away from home. Na bad enough ni kazi za private hata hawana branch maeneo ya karibu!
Ulioa?
Inakuwaje ndugu zake ndio washinikize?
Akitaka kuwaridhisha ndugu zake Jua huna mke hapo.
Una house mate tu
 
Aiiiiiiiii just say it again, kwamba anapata kila kitu kwako?abeeee!! Unamdanganya nani? Tuseme vyakula vipo mnakula nakushiba na vile tumbo halinga kioo hatutaki kujua mnakulaga nini.

Sema hapa hapa kama kweli unampa kila kitu.
1. Akisema anaomba 40000 za kusuka unampa bila masimango kuwa anapenda vya bei kali?

2: nguo unamnunulia nzuri nae anajihisi fresh?
3. Kwao wakitaka msaada unatoa bila kumrushia vijembe?

4: tuseme mama yake ana shida unatoaga bila kuvuta mdomo na kushinda bar unaangalia mpira ila asikuombe?

5: sikukuu za pasaka Christmas au eid uwa unampa pesa za kutuma kwao hata kama hajakuomba? Yaani unamwambia hii làki moja tuma kwenu wanunuwe ka nyama?

6: tuseme mdogo wake kamwamba ada unamchangia kwa moyo safi bila kinyongo?

7.tofauti na mahali ulotoaga wakati ule kuna siku unatumaga hata vijizawadi kwao?

8: je kuna wakati unampa vimatumizi pembeni hata amnunulie kijizawadi mama yako bila wewe kujua? Maana mama mkwe huyu ndo aliye mzalia mme so anastahili ampe vijizawadi ma vitenge na mazagazagq mengine.

Kama haya yote unafanya basi mzuie asiende kama hufanyi pambana na hali yako, haya ndo yalimfanya akaombe kazi.

Na kama ungekuwa na hela miaka mitano anasota kwako ungelikuwa ushamfunguliaga hata kijiduka.

N.b nipo hapa msibani kwa queen eliza nasoma comments

Rip queen.
Wanawake bhana!!
Yaani hapa mambo yoote umeelezea kwenu tu.
Sasa unaolewa ukawe kitega uchumi Cha ndugu zako?
Wakitaka uwe kitega uchumi Chao wasikuoze basi.
Uendelee kuwa singo
Unaweza kuwa na kazi na hiyo hela yako ndugu zako wasiionje kabisa.
 
Hili ndo tatizo la wanawake mkishapata kazi[emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Hawa watu akishakuwa na kazi na kuweza kupata mkopo wa kununua gari usitegemee atakuwa chini yako Tena.
Yaani kama ni maisha wewe kula Bata tu.
Maana dharau kama zote!!
Hakuna anachofanya kama mama ndani ya nyumba
Kila kitu anafanya hg.
Ila wewe anataka uwajibike kama baba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom