Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Mzee hakunaga mahusiano ya mbali,yani long distance relationship ni Trap,ikimbie

Kama sio mmoja wenu basi wote kwa pamoja mtaanza kupata wenza wa nje, automatically genuine desire inapotea na ndoa inasambaratika mara 1.

Usije ukakubali akaenda mkoani , Never mkuu
Kumbuka ww ndo Mwanaume hapo.
 
Angalia kama unaweza kuulipa huo mshahara anaoupata mwisho wa mwezi, basi mwache akae tu.

Ila kama huwezi na unaona umuhimu wa hio kazi unauona,

let her go to work...

Halafu kama wasiwasi wako ni kuchapiwa, kumbuka hata hapo ulipo bado kuna nafasi ya kuchapiwa.

kama tatizo ni distance, angalia namna ya kuhamia BK kule mkaishi kwa kula ndizi na senene.

mwisho kabisa,
mkeo akienda huko atachukua.miezi 6 tu akirudi atakua analoanisha godoro balaa😂😂😂
Vyakula vya wahaya vinatengeneza maji mengi sana mwilini
Hilo la godoro nimekukubali sana.
 
Kwanza ndoa kama haijafikisha miaka 10, jadilianeni kwanza kuwa muwazi tu kwake and how you feel, kama hauafiki yeye kwenda then jadilianeni jinsi ya kufanya alternative livelihood Ili awe busy.

Muulize kuhusu ujasiriamali na kipi anapenda, and then mjadiliane mnafikaje kwenye hiyo objective.

Sasa hapo ndio act kama kichwa Cha familia Sasa, lead the way with confidence.
Aende tu afanye kazi maana kama mke kakaa miaka 5 bila kazi na hajamfungulia biashara basi ujue hyo biashara haitafunguluwa, kama mwanamke ni mwaminifu no matter what hatatoka kwenye reli atakuwa faithful kwa mwenzake. Aende akafanye kazi mambo ya namtimizia kila kitu kumbe ni chakula tu unampa na malazi hapana
 
Hakikisha ameenda akiwa na ujauzito au harakisha Sana abebe mimba ya pili mkuu nimuhimu Hilo akikah vibaya Tena valisha mimb ya tatu anakuja kuzunguka tayari Ana watot wanne huku Kaz huku watoto

Lkn pia Kam Ni Kaz ya serekali acha aende akale kwa urefu wa kamba
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Mkeo anasemaje kuhusu kwenda kufanya kazi huko? Ukinijibu narudi kukupa ushauri
 
Hakikisha ameenda akiwa na ujauzito au harakisha Sana abebe mimba ya pili mkuu nimuhimu Hilo akikah vibaya Tena valisha mimb ya tatu anakuja kuzunguka tayari Ana watot wanne

Lkn pia Nashanga mtu una pesa na Bado unakuwa na mke Yuko nyumbni na mtot wa miak mitano Bado unashindwa kumvalisha mimba kweli

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mimba inazuia nini kiongozi? Watu wanaingia na vichanga guest kuliwa mbususu achilia mimba🥶
 
Okey boss. Mm nimeoa muda sasa na huyu mzee mwanzangu nilimuoa akiwa mwajiriwa na sasa mfanya biashara muda tu sijawahi pata mapicha picha ila ningeyapata ningerekebisha makosa ya kuoa malaya.
Hahahaha sasa mimi sitaki kuleta ligi ila amini unavyoamini..ila hua hakunaga siri chini ya jua...😀😀😀
 
Kwanza ndoa kama haijafikisha miaka 10, jadilianeni kwanza kuwa muwazi tu kwake and how you feel, kama hauafiki yeye kwenda then jadilianeni jinsi ya kufanya alternative livelihood Ili awe busy.

Muulize kuhusu ujasiriamali na kipi anapenda, and then mjadiliane mnafikaje kwenye hiyo objective.

Sasa hapo ndio act kama kichwa Cha familia Sasa, lead the way with confidence.
Just use common sense kama ndani ya miaka 5 hakuwahi kumtafutia alternative ndo leo ataweza kisa mke kapata kazi?

Huyu anajisemesha hapa tu kuwa anampa kila kitu ila hamna lolote. Nivile tu chakula kipo wanakula ila sio kwamba anamtimizia nguo nzuri, kusuka vizuri, kumpa vijipeaa vya kuwatumia wazazi wake.

Kama angelikuw anamtimizia asingehangaika kutafuta kazi.

Pipo think twice twice 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hahahaha sasa mimi sitaki kuleta ligi ila amini unavyoamini..ila hua hakunaga siri chini ya jua...😀😀😀
Sijakubishia. Ninachokwambia hakuna sababu ya kuishi kwa hofu, ukikosea ukaoa malaya rekebisha.
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Lazima utagongewa na wazee wa hukohuko. Jiandae kisaikolojia
 
Just use common sense kama ndani ya miaka 5 hakuwahi kumtafutia alternative ndo leo ataweza kisa mke kapata kazi?

Huyu anajisemesha hapa tu kuwa anampa kila kitu ila hamna lolote. Nivile tu chakula kipo wanakula ila sio kwamba anamtimizia nguo nzuri, kusuka vizuri, kumpa vijipeaa vya kuwatumia wazazi wake.

Kama angelikuw anamtimizia asingehangaika kutafuta kazi.

Pipo think twice twice [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakazia hapa.
 
Si kwamba siwezi manage, anapata kila kitu kwangu ni vile tu anapenda kufanya kazi, hataki zile za “subiri mume kaenda kutafuta”
Aiiiiiiiii just say it again, kwamba anapata kila kitu kwako?abeeee!! Unamdanganya nani? Tuseme vyakula vipo mnakula nakushiba na vile tumbo halinga kioo hatutaki kujua mnakulaga nini.

Sema hapa hapa kama kweli unampa kila kitu.
1. Akisema anaomba 40000 za kusuka unampa bila masimango kuwa anapenda vya bei kali?

2: nguo unamnunulia nzuri nae anajihisi fresh?
3. Kwao wakitaka msaada unatoa bila kumrushia vijembe?

4: tuseme mama yake ana shida unatoaga bila kuvuta mdomo na kushinda bar unaangalia mpira ila asikuombe?

5: sikukuu za pasaka Christmas au eid uwa unampa pesa za kutuma kwao hata kama hajakuomba? Yaani unamwambia hii làki moja tuma kwenu wanunuwe ka nyama?

6: tuseme mdogo wake kamwamba ada unamchangia kwa moyo safi bila kinyongo?

7.tofauti na mahali ulotoaga wakati ule kuna siku unatumaga hata vijizawadi kwao?

8: je kuna wakati unampa vimatumizi pembeni hata amnunulie kijizawadi mama yako bila wewe kujua? Maana mama mkwe huyu ndo aliye mzalia mme so anastahili ampe vijizawadi ma vitenge na mazagazagq mengine.

Kama haya yote unafanya basi mzuie asiende kama hufanyi pambana na hali yako, haya ndo yalimfanya akaombe kazi.

Na kama ungekuwa na hela miaka mitano anasota kwako ungelikuwa ushamfunguliaga hata kijiduka.

N.b nipo hapa msibani kwa queen eliza nasoma comments

Rip queen.
 
Ndoa yenu ndio imefika mwisho hivyo, utanikumbuka mkuu.
 
Hofu yako ni kama kuliwa popote ataliwa hata akiwa home. Mwache akapige Kazi muinjoi uzeeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom