Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Si maisha mazuri sana kwa watu mliozoea kuishi pamoja kama wanandoa kukaa mbali kiasi hicho,usimuazie tu yeye kuingia majaribuni ,hata wewe mwenyewe unaweza kuingia mtegoni,muache aende,ila pambana sana kwa kadiri utakavyoweza ili ahamishiwe ulipo.Kikawaida wanaume wazinzi wako kama majogoo,mwanamke mgeni anapokuja mahali,hata bila ya kujua tabia zake au kama ni mke wa mtu,kila mtu lazima ajaribu kete yake ili awe wa kwanza,sasa mwanamke asipokuwa stable unaweza kusikia mengine...
Upo sahihi Mkuu
 
Aende tu afanye kazi maana kama mke kakaa miaka 5 bila kazi na hajamfungulia biashara basi ujue hyo biashara haitafunguluwa, kama mwanamke ni mwaminifu no matter what hatatoka kwenye reli atakuwa faithful kwa mwenzake. Aende akafanye kazi mambo ya namtimizia kila kitu kumbe ni chakula tu unampa na malazi hapana
Kumtimiizia si ndio huko Mkuu!? 😁😁 Chakula, Malazi na Makazi ndio basic needs, tofauti ni quality tu 😁😁
 
Seconded ,hata ukilala naye na kuamka naye daily 24/7 kama ni bitch atalabuliwa tu.

bujaganoni km hujawahi kuwa na historia yoyote mbaya na mkeo mwache akafanye kazi , hlf baada ya muda unaweza kutafuta uhamisho.

Sema DSM to Kagera nyege na upweke vinaweza kukupatia sonono la moyo hasa kama ni Mzee wa kuchakata mbususu daily na kulala mmekumbatiana 😅😅😅
Mbususu daily Mkuu ndio inaniumiza kichwa hapa 🤣🤣🤣 kukaa wiki sijui miezi sita hujagegeda asee ni mtihani 😅😅😅
 
Aiiiiiiiii just say it again, kwamba anapata kila kitu kwako?abeeee!! Unamdanganya nani? Tuseme vyakula vipo mnakula nakushiba na vile tumbo halinga kioo hatutaki kujua mnakulaga nini.

Sema hapa hapa kama kweli unampa kila kitu.
1. Akisema anaomba 40000 za kusuka unampa bila masimango kuwa anapenda vya bei kali?

2: nguo unamnunulia nzuri nae anajihisi fresh?
3. Kwao wakitaka msaada unatoa bila kumrushia vijembe?

4: tuseme mama yake ana shida unatoaga bila kuvuta mdomo na kushinda bar unaangalia mpira ila asikuombe?

5: sikukuu za pasaka Christmas au eid uwa unampa pesa za kutuma kwao hata kama hajakuomba? Yaani unamwambia hii làki moja tuma kwenu wanunuwe ka nyama?

6: tuseme mdogo wake kamwamba ada unamchangia kwa moyo safi bila kinyongo?

7.tofauti na mahali ulotoaga wakati ule kuna siku unatumaga hata vijizawadi kwao?

8: je kuna wakati unampa vimatumizi pembeni hata amnunulie kijizawadi mama yako bila wewe kujua? Maana mama mkwe huyu ndo aliye mzalia mme so anastahili ampe vijizawadi ma vitenge na mazagazagq mengine.

Kama haya yote unafanya basi mzuie asiende kama hufanyi pambana na hali yako, haya ndo yalimfanya akaombe kazi.

Na kama ungekuwa na hela miaka mitano anasota kwako ungelikuwa ushamfunguliaga hata kijiduka.

N.b nipo hapa msibani kwa queen eliza nasoma comments

Rip queen.
Mpaka hapa nina 60% tu kwenye mtihani wako Mkuu 😊😊 Sema anaweza suka hata 60k, ila Akisuka huwa hela inamuuma 🤣
 
Mbususu daily Mkuu ndio inaniumiza kichwa hapa 🤣🤣🤣 kukaa wiki sijui miezi sita hujagegeda asee ni mtihani 😅😅😅
😅😅😅 Hapo kazi ipo mkuu-usipojiadjust kwenye brain unaweza kudanja kimasihara
 
Ila sipati picha, just imagine pindi mnaishi pamoja labda ulikuwa unachepuka, aisee saizi ukikaa peke yako mbususu zitachapika balaa
 
Rejea Uzi wangu
"Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti"
Ukitaka kuthibitisha hili wewe kaa miezi 6 tu. Utanipa jibu.
Wewe mwenyewe ndiye utaanza kugonga nje na yeye huko atagongwa nje then.
Then hatari zaidi ni kwamba amepata kazi ambayo ataweza kujisimamia.
All in all hapo hakuna ndoa.
Chukua screen shot hii post.
Nakazia
 
Meeen, I like this…

Ni kwamba mpaka naleta huu uzi, tuliongea akasema kama naweza kumruhusu aende kufanya kazi au la, so anasubiri uamzi kutoka kwangu, ndio nilikuwa naangalia possibilities hapa, ndoa haijafika miaka hiyo miaka 10. Nikalileta huku nikiamini kuna watu wanaweza kuwa na experience na hivo vitu.
Achana na hayo mambo baki na mkeo hapo nyumbani anzisha biashara za familia asimamie kama una hela

ila kama ni kapuku embu acha ujinga muache akatafute maisha ili upate ahueni.

Zingatia hayo .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom