Kwa kuwa kasema ni kazi nzuri then inaweza kugharamia nauli za hapa na pale.Acha wife akapige kazi,hakuna mbali,kila sehemu inafikika kwa usafiri,ndio maisha ya kisasa,mtakuwa mnakutana wakati wa likizo.
Kwa kuwa kasema ni kazi nzuri then inaweza kugharamia nauli za hapa na pale.Acha wife akapige kazi,hakuna mbali,kila sehemu inafikika kwa usafiri,ndio maisha ya kisasa,mtakuwa mnakutana wakati wa likizo.
Hii mambo ya kufanya maamuzi based on the thinking of Death inaguathiri sana wabongo.Sasa ukimzuia akabaki, kesho wewe umekufa, nani ataendelea kutunza huyo mtoto km atakuwa mama wa nyumbani?
Muache akafanye kazi, kugandamana hakuna maana yoyote.
We jamaa umeamua kutufurahisha asubuhi ya leo😅😅mwisho kabisa,
mkeo akienda huko atachukua.miezi 6 tu akirudi atakua analoanisha godoro balaa😂😂😂
Vyakula vya wahaya vinatengeneza maji mengi sana mwilini
maamuzi yoyote utakayofanya katika hili ndoa yako haiwezi kuwa kama mwanzo........Mdogo wangu....
Ndugu yangu.....
Mwanaume mwenzangu....
Nisiwe mnafiki kwako.....huu ni mtihani mgumu kwa Wana ndoa na una asilimia mbili za kuushinda......kwa kifupi ndoa yako inaelekea shimoni......hiyo ni FITINA kubwa katika.....maamuzi yoyote utakayofanya katika hili ndoa yako haiwezi kuwa kama mwanzo........
Dah nyie jamaaa mna roho mbaya sana...yaani mwataka hiyo papuchi alagebyeye peke yake tuu....amuachie mke nae akaonje de libolo tofauti. Haya mambo ya kubania mwanamke ambaye amesoma kwenda kufanya kazi ni ujinga tuu. Kama hutaki haya mambo ya kuishi mbali mbali basi unaoa mwanamke wa form four B failure tuu.Out of all the wishez, i wish you good bruhv!
Take it from me kama mkeo hakika unampenda usimuache akaenda huko Bukoba. Kama dhiki pambaneni nayo tu mkiwa pamoja Mungu atafanya wepesi ila usikubali utengano na mkeo sababu ya kazi.
Nakuhakikishia in 6 months time toka aondoke hakutakuwa na ndoa tena. Probability ya hilo kutokea ni 89%!
Hizo 11% nawaachia walimwengu...
Kama chakula hivi
Ukifanikiwa kumzuia asiende balaa linaanzia hapo kuhusu mahitaji yake....hata yale ambayo alikuwa anavumilia ukimnyima atayahitaji Tena kwa nguvu.......ukimruhusu aende ndio balaa zaidi....maamuzi yoyote utakayofanya katika hili ndoa yako haiwezi kuwa kama mwanzo........
Yaaani hapa ni yeyote! Huu ni mwanzo WA lawama nyingi Sana! Ukimruhusu Shida,usipomruhusu Shida! Hakuna tena maelewano hapa! Jiandae kisaikologia
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sahhih kbsaMruhusu ila kila siku ahsubuhi uwe unamtumia wimbo wa Sheta na Mavocco "Usilete UKIMWI NYUMBANI" utanishukuru.
Kabisa maana kama mke akifa baba yeye anao uwezo wa kutunza watoto, swali ni he baba akitangulia mama atabakije au ndo kuwarudisha watoto nyuma na kuwafanya waishi maisha duni zaidi.Sasa ukimzuia akabaki, kesho wewe umekufa, nani ataendelea kutunza huyo mtoto km atakuwa mama wa nyumbani?
Muache akafanye kazi, kugandamana hakuna maana yoyote.
Asingeolewa, ili awe anafanya kazi anasapoti ndugu zake vzr bila bugudha.Maisha yamebadilika, anahtaji kuwasqidia wazazi na ndguze kama wewe ufanyavyo kwa wazazi wako na ndgu zake, anahtajika pia kwenye mambo ya kijamii sasa hapo utaweza vyote mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko Ofisi mpya bukoba anapoenda wafanyakazi wameshaambiwa Kuna demu mgeni anakuja majamaa yamejipanga kumpokea akifika tu kuna lijamaa litajidai linajua nyumba nzuri ilipo na atamuongezea hela ya kodi
Dinnazarde haujambo mama?Ehee tabu sana
Na uwezo anao ?
Nipo poa JerryDinnazarde haujambo mama?