Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Acha mwanamke akafanye kazi awe na hela yake hata siku ikitokea asichepuke kisa kupewa elfu 50 ya kikoba, bora akichepuka achekupuke kwa kupewa hata laki 5 aongezee kodi ya nyumba au akusanye ntaji wa kiwanja.

Unajuwa mwanamke akiwa na pesa yake hababaishwi na wanaume wenye vijisent vya njaa? Yaani hata akichepuka basi achepuke na mtu anaekuzidi uwezo sio hivi vitoto visimamia kucha mfukoni havina hela.
Mda wewe ni Mke wa mtu, una kazi unalipwa mshahara mzuri unaokutosha, umetongozwa na mwanaume marioo hana pesa ila handsome Kuliko mumeo na ana six pack, hapo vipi, hutachepuka luckyline
 
Si wanawake nao unakuta wanapenda ndoa kuolewa heshima,ndoa nyingi zinavunjika sababu ya pesa ndani haitolewi angalia familia za matajiri hakuna kelele
Mnasema wanaume wa kibongo hatutoi pesa za kutosha za matunzo ndio maana wake wanatukimbia, sawa huo ni udhaifu wetu tumeukubali, lakini je kumpa mke pesa za kutosha za matunzo ndio suluhisho pekee la kufanya mwanamke asi-cheat/asikimbie?

Kuna thread ngapi zinaletwa humu, wanaume wanawapa wake zao pesa nyingi, ila wanaishia kuchapiwa/kukimbiwa

Mwanaume huyo huyo wa kukupa pesa za kutosha, na kwa bed/kimuonekano awe fresh, pia awe husband material, utampata wapi Tanzania hii Dinazarde mama D Mrs Lissu
 
Mnasema wanaume wa kibongo hatutoi pesa za kutosha za matunzo ndio maana wake wanatukimbia, sawa huo ni udhaifu wetu tumeukubali, lakini je kumpa mke pesa za kutosha za matunzo ndio suluhisho pekee la kufanya mwanamke asi-cheat/asikimbie?

Kuna thread ngapi zinaletwa humu, wanaume wanawapa wake zao pesa nyingi, ila wanaishia kuchapiwa/kukimbiwa

Mwanaume huyo huyo wa kukupa pesa za kutosha, na kwa bed/kimuonekano awe fresh, pia awe husband material, utampata wapi Tanzania hii Dinazarde mama D Mrs Lissu
Wanavyosema wanawapa kila kitu ndio hizo ndogo yaan anavyokulisha wali maharage ndio kakupa kila kitu
Wachache sana wanafanya inavyostahili
 
Mda wewe ni Mke wa mtu, una kazi unalipwa mshahara mzuri unaokutosha, umetongozwa na mwanaume marioo hana pesa ila handsome Kuliko mumeo na ana six pack, hapo vipi, hutachepuka luckyline
Handsome? Six packs my foot, hata kwa kurogwa siwezi
 
Nipe namba yake nimpokee hapa BK, ntakuindia kwa mwezi nipe 50K
 
N
kusema kwamba ni malaya tu ndio wanaoliwa baasii wake za watu wanaofanya kazi mbali na wenzi wao karibia wote malaya, mkuu wanapigwa wake za watu dom mpaka mungu hapend....
Na wakwako ni miongoni mwao?
 
Mwache aende akaongeze kipato katika familia ila kuna ndege siku moja moja sio mbaya kukwea pipa
 
Boss, Malaya hachagui location, hakuna haja ya kuishi kwa hofu, kama umekosea kuoa rekebisha hakuna namna.
Mazingira hasa mtu akiwa mbali na mwenza wake yanaweza kumchochea mtu afanye mqmbo ambayo asingeyafanya kama angekuwa nyumbani . Mke anaweza kujifunzia umalaya kutokana tu na kuwa mbali na mumewe.

Pili kinachofanya mke aliwe kirahisi ni kuwa mwanamke huwa hapendi kutumia hela yake anataka atumie hela ya mwanaume mwingine na hapo ndipo wengi wanaponasa.
 
Kabisa maana kama mke akifa baba yeye anao uwezo wa kutunza watoto, swali ni he baba akitangulia mama atabakije au ndo kuwarudisha watoto nyuma na kuwafanya waishi maisha duni zaidi.
Hapa issue siyo kumzuia kufanya kazi, the issue is flexibility! Mbona nimeeleza vizuri tu!
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Kazi ni sehemu temporary ya kupata kipato ili uweze kujenga empire yako mbeleni. Pia kazi ikitumikiwa muda mrefu ni chanzo cha matatizo mengi ya kifamilia. Hivyo tafakari future yako na ya familia yako kabla ya kufikia muafaka na epuka matumizi ya mihemko katika kuchukua maamuzi yako. Kila la heri mkuu.
 
Si kwamba siwezi manage, anapata kila kitu kwangu ni vile tu anapenda kufanya kazi, hataki zile za “subiri mume kaenda kutafuta”
Mimi nafikiri ungemruhusu akafanye kazi, huyo ni mtu mzima, anatambua jukumu na wajibu alionao kutunza ndoa na familia yake. Haya maisha, uwezo ulionao leo unaweza usiwe nao kesho na atarudi kukulaumu kwa kumzuia asifanye kazi.
Kama aliweza kukaa miaka 5 bila kupata ajira, kwanini aipoteze fulsa hiyo kirahisi namna hiyo?
Mwache aende, kuna kipindi atapachoka tu na atarudi lkn atakuwa ameshatengeneza hata mtaji mzuri wa kufanya biashara atakaporudi.
 
Akafanye kazi kwa malengo kama we umeshawekeza dsm usihame. Malengo yakitimia aache arudi dsm. Pangeni mnataka mfanye kitu gani huo mshahara atakaopata. Kama wanalipa vizuri afanye kazi miaka miwli arudi nyumbani. Maisha ya boarding sio mazuri sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom