Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

Si mchaga kweli huyo maana hawa ndugu zangu wana roho za kikatili sana.
 
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESK TOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.

Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.

Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
Hapo inabidi umuoneshe kweli we ni mbwa
 
Mimi nimeseviwa “untouchable”
 
Hao viumbe ukitembeza sana rungu huku mtaani au ukala msichana wa kazi au mdogo wake lazima akuite mbwa vuta kumbukumbu siku za hapa karibuni mmegombana kuhusu nini halafu unga doti.
 
Kimeumana, kimeumana, kimeumana, kimeumana.
Hao wanawake wanaoweka kucha za bandia, kope za bandia, na minywele ya bandia wanawahenyesha sana
 
Sijawahi kuona mbwa anaoa paka, kama ni hivyo basi na yeye ni mbwa, Mbwa kaolewa na mbwa mwenzake hata wewe msave MBWA.
 
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESK TOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.

Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.

Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
Mkuu una haki ya kuitwa hivyo,mkeo kakutukanq mpaka sasa hujampa adhabu unakuja kulialia jf
 
Duuh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom