Mkuu siyo rahisi hivyo, wakienda huko huwa wanakuwa addicted sana. Cha kufanya ni kumuacha tu akakue kwanza..
Naam Mkuu hapa ndoa ilishasepa. Mwanamke anayemuheshimu mumewe na ndoa yao kamwe hawezi kwenda FB kuandika upuuzi. Piga chini uangalie ustaarabu mwingine. Pole na kila la heri kwenye maamuzi yako.
ha ha ha ha ha kaja kuomba ushauri banaHahaha utandawazi lazma ututie wazimu. Sasa mkeo anakusimanga fb na wewe unamsimanga jf. Ngoma droo sasa.
best, what if huyu ndugu anajistukia tu? hiyo message hapo aliyopost mbona kama iko very general?
hakuna kitu kigumu kama mahusiano na mtu anaetaka definition ya kila kitu unachoandika ama kusema. Wenzi wa hivyo ni bora wasiwe marafiki kwenye media manake mwisho wataanza kushambuliana hadharani
Very sad,amekuwa akiweka ujumbe wa ajabu ajabu kwenye wall yake ya Facebook, na sasa hii ndio profile picture yake.
Hii amenza kufanya kama miezi miwili na nusu nyuma, na mbaya zaidi ni kwamba yeye ni mlokole na amehama Kanisa letu lilotulea na kuhamia kwenye makanisa ya miujiza.
Yeye yuko very demanding, ukimwambia mshahara hautoshi, kwake ni maneno, nimejaribu kufungua biashara na yeye ndiyo msimamizi mkuu.Bado faida haionekani licha ya kuwa sichukui chochote toka kwenye biashara hizo.
Analalamila kisa eti kila mwezi namtumia mama kijijini laki 3, what is laki tatu by the way ni sawa na elfu kumi kwa siku.
ukimuelewesha haelewi, anataka mama yake nimtumie laki tano,mpaka sasa nahisi amegeuka kero na mzigo.
Sina mengi, ila namshukuru Mungu kwa yote.
![]()

[/QUOT
umemuoa yeye au mama yake? mam yakes ana mumewe ? kumtunza mamake sio jukumu lako achakujipendekeza otherwise mamake naye aje umuoe. haya mambo haya ndo maana mi nilimbandua mama mkwe
Umpe mama yake laki tano?
Mama yako umpe ngapi?
Mwambie tu umeshaona anavyojilalamisha,
muulize kama kapata mwingine aanze.
Ndugu yangu kumbuka yaliompata mbasha nawe usipokua makini yatakupata wachungaji matapeli na wapenda ngono wamevamia nyumba yako mkuu.jivue gamba mapemaVery sad,amekuwa akiweka ujumbe wa ajabu ajabu kwenye wall yake ya Facebook, na sasa hii ndio profile picture yake.
Hii amenza kufanya kama miezi miwili na nusu nyuma, na mbaya zaidi ni kwamba yeye ni mlokole na amehama Kanisa letu lilotulea na kuhamia kwenye makanisa ya miujiza.
Yeye yuko very demanding, ukimwambia mshahara hautoshi, kwake ni maneno, nimejaribu kufungua biashara na yeye ndiyo msimamizi mkuu.Bado faida haionekani licha ya kuwa sichukui chochote toka kwenye biashara hizo.
Analalamila kisa eti kila mwezi namtumia mama kijijini laki 3, what is laki tatu by the way ni sawa na elfu kumi kwa siku.
ukimuelewesha haelewi, anataka mama yake nimtumie laki tano,mpaka sasa nahisi amegeuka kero na mzigo.
Sina mengi, ila namshukuru Mungu kwa yote.
![]()
Duh ushauri mwingine kweli changanya na zako .aaaaah awa ni kumbandua mama wa mkewe il wakae levo