Mke wangu anatuma post za kunisimanga Facebook

Mke wangu anatuma post za kunisimanga Facebook

Lol! ndoa kazi mnapeana na mipasho hatari.. wajuzi wa ndoa watakushauri
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini hii hadithi..
 
Daaaah wanawake wengine bwana.me nikigundua mke wangu ameanza tangatanga na makanisa nampa notes haraka sana nishaona wanawake kibao wameachana na waume zao kwa makanisa hayo na kuishia kumlaumu mungu
 
Daaaah wanawake wengine bwana.me nikigundua mke wangu ameanza tangatanga na makanisa nampa notes haraka sana nishaona wanawake kibao wameachana na waume zao kwa makanisa hayo na kuishia kumlaumu mungu

Ukiona hivyo ujue mchungaji anagegeda
 
Very sad,amekuwa akiweka ujumbe wa ajabu ajabu kwenye wall yake ya Facebook, na sasa hii ndio profile picture yake.
Hii amenza kufanya kama miezi miwili na nusu nyuma, na mbaya zaidi ni kwamba yeye ni mlokole na amehama Kanisa letu lilotulea na kuhamia kwenye makanisa ya miujiza.

Yeye yuko very demanding, ukimwambia mshahara hautoshi, kwake ni maneno, nimejaribu kufungua biashara na yeye ndiyo msimamizi mkuu.Bado faida haionekani licha ya kuwa sichukui chochote toka kwenye biashara hizo.

Analalamila kisa eti kila mwezi namtumia mama kijijini laki 3, what is laki tatu by the way ni sawa na elfu kumi kwa siku.
ukimuelewesha haelewi, anataka mama yake nimtumie laki tano,mpaka sasa nahisi amegeuka kero na mzigo.

Sina mengi, ila namshukuru Mungu kwa yote.

10927928_359236227594237_347315041_n.jpg


Kimeo huyo. Na wewe ujifunze, wanawake akili zao wengine ni kama za mbuzi. Ukituma hela kwenu usimjulishe.
 
Mkuu hamkuzaliwa pamoja na sio lazima uishi nae maisha yako yote pamoja. Fanya maamuzi magumu. Achana na maneno ya kwenye vitabu eti kwa shida na raha, nani kasema. Wewe fukuzwa kazi leo uone kama hatakukimbia
 
Watu wengi wamekua wakutumia mitandao ya kijamii kama sehem ya kumalizia stress zao kumbe ni ujinga na utoto, makosa au mapungufu hayarekebishwi kwa maneno yasiofaa kwe status tena kimafumbo huo ni utoto sana Mi uwa nakasirika sana...by the way pole sana bro
 
Ha ha ha ha ha ha mbavu zangu miyeeee@shyland

Mkuu kuna watu humu wanashauri na kadharau dani yake?

eti anaambiwa kuwa mwanaume! kwa maana ya kwamba mtoa mada aliposhidwa kuyatatua matatizo ya kifamilia basi sifa ya uanaume ikampotea na akawa mwanamke.
 
wanaume wapo vyema sana kujitetea wanawake wengi sana wanaumizwa kihisia pengine anashindwa kuvumilia na kukaa kimya.. Hapo Ndipo anakosea kuieleza dunia..
mud a mwingine mwanamke anakuwa na madai yenye mantiki ila kwa kutumia uanaume wake mwanaume anajifanya haelewi na yupo sahihi katika kila jambo...
kabla haujalalamika jiangalie kwa undani pengine we we ndiyo tatizo..
na kama unaweza jipe nafasi ya kuwa peke yako kwa mud a..
 
Labda niende mbele Kidogo eti wewe Pekee ndo wamtunza mzazi Huna ndugu wengine wa kusaidiana? Na kama wamtunza mama yako which is perfect fine na wa kwake wamtunza? Je hii ya kupeleka pesa kwa mzazi kila Mwezi mliliamua pamoja au uliliamua mwenyewe ulimshirikisha toka mwanzo? Na je kwa kumtunza mama umepunguza au umebadilisha matunzo nyumbani?
 
Mpe lak tano aende nazo kwao kwa mwez mmoja na nusu. Akirud atakuthamn kama mboni ya jicho lake.
 
Back
Top Bottom