Very sad,amekuwa akiweka ujumbe wa ajabu ajabu kwenye wall yake ya Facebook, na sasa hii ndio profile picture yake.
Hii amenza kufanya kama miezi miwili na nusu nyuma, na mbaya zaidi ni kwamba yeye ni mlokole na amehama Kanisa letu lilotulea na kuhamia kwenye makanisa ya miujiza.
Yeye yuko very demanding, ukimwambia mshahara hautoshi, kwake ni maneno, nimejaribu kufungua biashara na yeye ndiyo msimamizi mkuu.Bado faida haionekani licha ya kuwa sichukui chochote toka kwenye biashara hizo.
Analalamila kisa eti kila mwezi namtumia mama kijijini laki 3, what is laki tatu by the way ni sawa na elfu kumi kwa siku.
ukimuelewesha haelewi, anataka mama yake nimtumie laki tano,mpaka sasa nahisi amegeuka kero na mzigo.
Sina mengi, ila namshukuru Mungu kwa yote.
![]()
mtumishi kamshika ... biashara anafunga anaenda kuomba
Badala akomae na biashara apate laki 5 ya mama yake.
umeongelea upande mmoja tuu hapa.....kipato chako ni kiasi gani? isije kuwa pesa yote unatuma kwa mamako alafu unamtesa mke. hizo post zake fb inaweza kuwa matokeo ya stress unazompa
Amesema hiyo laki3 ni sawa na elfu10 TU kwa siku, kwa maana kuwa ni insignificant ukilinganisha na kipato chake. Mke kapewa na biashara na hahojiwi matumizi bado anatolea jicho elfu kumi anayopata mama mkwe! anataka jamaa atume ukweni mara mbili ya anachotuma kwao....kazi ipo!
Ushauri mwingine bhana ni kama tusi,
aliyekuambia mtoa mada alikuwa mwanamke ni nani?
Hiyo ni shida kubwa na inabidi suala hili ulipeleka kwa third party maana inaelekea aidha hamna mawasilano mazuri au nyote mnazungumza lugha tofauti na hakuna anayemuelewa mwenzake.Very sad,amekuwa akiweka ujumbe wa ajabu ajabu kwenye wall yake ya Facebook, na sasa hii ndio profile picture yake.
Hii amenza kufanya kama miezi miwili na nusu nyuma, na mbaya zaidi ni kwamba yeye ni mlokole na amehama Kanisa letu lilotulea na kuhamia kwenye makanisa ya miujiza.
Yeye yuko very demanding, ukimwambia mshahara hautoshi, kwake ni maneno, nimejaribu kufungua biashara na yeye ndiyo msimamizi mkuu.Bado faida haionekani licha ya kuwa sichukui chochote toka kwenye biashara hizo.
Analalamila kisa eti kila mwezi namtumia mama kijijini laki 3, what is laki tatu by the way ni sawa na elfu kumi kwa siku.
ukimuelewesha haelewi, anataka mama yake nimtumie laki tano,mpaka sasa nahisi amegeuka kero na mzigo.
Sina mengi, ila namshukuru Mungu kwa yote.
![]()
Mmmh laki tatu kwa mwezi?? Kijijini!!?