TZS Milioni 3.6 kwa mwaka, huyo mama wa kijijini ni tajiri sana, na sijui ana mudu vipi kuimaliza hiyo hela kila mwezi, mi naona wife wa jamaa yuko sahihi, kwa kuwa ukokotoaji wa mgawanyo wa keki kwa wazazi haujakaa sawa.
Acha roho ya kimaskini
TZS Milioni 3.6 kwa mwaka, huyo mama wa kijijini ni tajiri sana, na sijui ana mudu vipi kuimaliza hiyo hela kila mwezi, mi naona wife wa jamaa yuko sahihi, kwa kuwa ukokotoaji wa mgawanyo wa keki kwa wazazi haujakaa sawa.
Mi sitokei kwenye familia inayotumia milioni kumi kununua mboga, nyie wenzetu wa full tank tunapaki wapi? ​Endeleeni tu na kuishi maisha yenu ya juuHumphnicky unamtesa mama yako kijijini, unatumia laki tatu tu?
Pole sanaVery sad,amekuwa akiweka ujumbe wa ajabu ajabu kwenye wall yake ya Facebook, na sasa hii ndio profile picture yake.
Hii amenza kufanya kama miezi miwili na nusu nyuma, na mbaya zaidi ni kwamba yeye ni mlokole na amehama Kanisa letu lilotulea na kuhamia kwenye makanisa ya miujiza.
Yeye yuko very demanding, ukimwambia mshahara hautoshi, kwake ni maneno, nimejaribu kufungua biashara na yeye ndiyo msimamizi mkuu.Bado faida haionekani licha ya kuwa sichukui chochote toka kwenye biashara hizo.
Analalamila kisa eti kila mwezi namtumia mama kijijini laki 3, what is laki tatu by the way ni sawa na elfu kumi kwa siku.
ukimuelewesha haelewi, anataka mama yake nimtumie laki tano,mpaka sasa nahisi amegeuka kero na mzigo.
Sina mengi, ila namshukuru Mungu kwa yote.
![]()
Asante sanaPole sana
Vipi bado anatumaAsante sana